Kwenye suala la HIV na UKIMWI wazungu walitupiga? Nini kifanyike?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,887
Mambo ya virusi vya ukimwi na ukimwi vingekua vimeibukia karne hii na miaka hii ya smartphone basi huu ugonjwa watu wangeushtukia kama walivyoshtukia Corona

Kwa hili wazungu walitupiga sana Africa

Ni kiasi cha kwamba miradi yao ya ARVs inazidi kuingiza mabilioni ya dola huku watu wetu wakigeuzwa "addicted" au mateja wa Arvs

Maana ukiacha Arvs kifo kinakuhusu........Hii ni mkakati wa kuuza dawa tu hawa watu noma aisee

Sasa hivi kupima kwa wamama wajawazito ndo imekua kipaumbele na lazima ili waendelee kutupiga tu ili waendelee kupata wateja wa dawa zao

Mtu akiwa mjamzito kinga ya mwili inashuka na ukiupima upungufu wa kinga mwilini lazima kuna uwezekano wanawake wengi kuonekana anao

Watu wetu wanakufa kwa hofu tu

Mpaka leo virusi havijawahi kuonekana maabara ni fix tu mnapimaga virusi au mnapimaga upungufu wa kinga?

Utapiamlo wangu kwa uzembe wangu wa kutokula nitamuambukizaje mke wangu?

Kwanini wengi wanaotumiaga Arvs ndo wanaoteseka zaidi?

Kwanini ni Africa tu tena kusini mwa jangwa la sahara ndo cases kubwa za ukimwi zipo huku Europe kukiwa na kiwango hadi 0 na point kadhaa?

Issue ya HIV tulipigwa tu

Hakunaga HIV bali UKIMWI upo

Mimi nilishtukia huu mchezo wao mchafu....lakini tahadhari zote nachukua na kila mmoja anapaswa kuchukua tahadhari zote zilizoshauriwa ila ondoa hofu kabisa maana watu wanakufa kwa hofu tu......Pamoja na hayo, lakini najua hii ni Scam na miradi ya wachache tu sasa ukitaka wakunyoe bila maji basi kama kiongozi tamka upingane na hao juu ya hili mabeberu wa ulaya na marekani watakuparua fasta maana huu ni mradi wao

Ifike mahali africa iwekeze kwenye tafiti tu bila hivyo tutakwisha kwa kukosa maarifa
 
Nimepita sehemu za hatari sana na mmoja niliambiwa anatumia ARV baada ya kupiga mara kadhaa. Nilizama hadi uvinza lakini wapi nipo fit. Rafiki zangu walijua kuwa dem kaungua ila wakiogopa jinsi ya kunifikishia ujumbe. Huu ni mwaka wa 3 nipo fit mimi na wife na tumepata watoto mapacha wenye afya zao nzuri. Ukimwi ni fix za wazungu.
 
Usikute na hii ni fix ya wazungu tunaambiwa haupo kumbe upo ili tunase tuukwae tule EIARAVII..😅
 
Mambo ya virusi vya ukimwi na ukimwi vingekua vimeibukia karne hii na miaka hii ya smartphone basi huu ugonjwa watu wangeushtukia kama walivyoshtukia Corona

Kwa hili wazungu walitupiga sana Africa

Ni kiasi cha kwamba miradi yao ya ARVs inazidi kuingiza mabilioni ya dola huku watu wetu wakigeuzwa "addicted" au mateja wa Arvs

Maana ukiacha Arvs kifo kinakuhusu........Hii ni mkakati wa kuuza dawa tu hawa watu noma aisee

Sasa hivi kupima kwa wamama wajawazito ndo imekua kipaumbele na lazima ili waendelee kutupiga tu ili waendelee kupata wateja wa dawa zao

Mtu akiwa mjamzito kinga ya mwili inashuka na ukiupima upungufu wa kinga mwilini lazima kuna uwezekano wanawake wengi kuonekana anao

Watu wetu wanakufa kwa hofu tu

Mpaka leo virusi havijawahi kuonekana maabara ni fix tu mnapimaga virusi au mnapimaga upungufu wa kinga?

Utapiamlo wangu kwa uzembe wangu wa kutokula nitamuambukizaje mke wangu?

Kwanini wengi wanaotumiaga Arvs ndo wanaoteseka zaidi?

Kwanini ni Africa tu tena kusini mwa jangwa la sahara ndo cases kubwa za ukimwi zipo huku Europe kukiwa na kiwango hadi 0 na point kadhaa?

Issue ya HIV tulipigwa tu

Hakunaga HIV bali UKIMWI upo

Mimi nilishtukia huu mchezo wao mchafu....lakini tahadhari zote nachukua lakini najua hii ni Scam na miradi ya wachache tu sasa ukitaka wakunyoe bila maji basi kama kiongozi tamka upingane na hao juu ya hili mabeberu wa ulaya na marekani watakuparua fasta maana huu ni mradi wao

Ifike mahali africa iwekeze kwenye tafiti tu bila hivyo tutakwisha kwa kukosa maarifa
Utakuta umeandika haya ukiwa umeshiba sehemu,unasikia usingizi tu

Nafurahi umesema unachukua tahadhari zote, sasa tuambie na sisi wenzako tuchukue tahadhari zote...Maana maneno uliyoandika tutaacha kuchukua tahadhari.

By the way; haya maneno yaishia hapa ikiwezekana uyafute, utapata dhambi bure.
 
Usikute na hii ni fix ya wazungu tunaambiwa haupo kumbe upo ili tunase tuukwae tule EIARAVII..
Ukianza clinic ya mama mjamzito mnapewa semina elekezi, mume unaambiwa kabisa kama ukikutwa positive unaanzishiwa dawa na mama pia papo hapo. Tupo na afya njema na watoto wetu wenye umri wa mwaka na miezi 9.
 
Back
Top Bottom