WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,233
Mkuu unaona eee! Yaani nilishaliona nikuamua tu kuweka ubabe chini na kuridhika huku ukimtunza vizuri na kumwelewesha vizuri uliyenaye!! Hakuna kitu kizuri kama kumtoa ushamba uliyenaye na hatimaye akaja kuwa msaada kwako, you must be proud and respect one another. Huyu mkuu amepost lakini hajasema ni kitu gani kinachomfanya asimpende, pengine ni ule ushamba wa kijijini ambapo wakati mwingine mke wake mpendwa anayaacha nje manyonyo bila kuyasitili au anakuwa mchafu mchafu kiaina huku yeye mwenyewe haionyeshi kukereka. Kama anasoma huu uzi wake, ajitahidi kumuweka sawa huku akinunulia vitu vikali na kumpa outing za nguvu kila weekend akimuonyesha wanawake wengine wanaonekanaje!!wa ukenyege unajua hawa vijana kabla ya kuoa huwa kunakuwa na expectation sasa wakizikosa wanaanza kulalamika.no perfect marriage in this world.