ni dhahiri kabisa huna elimu ya fedha kama mamilioni ya watz wengi wakiwemo hata mawaziri wanaotuongezea matozo kila siku.
soma vitabu vya rich man in babilon na richdad poor dad, vitakupa msingi wa elimu ya fedha,
haijalishi una masters ya finance, degree ya uwekezaji, cpa, n.k kama hujasoma hivyo vitabu ni sawa na bure tu.
kwa wenzetu huko india, ulaya, mtoto mdogo kabisa hivi vitabu ashaviingiza kichwani,
ujinga wa kutokuwa na elimu ya fedha umegharimu wengi sana kuanzia wafanyakazi wanaolipwa vizuri, wanamichezo na wasanii wa juu, n.k.
bila kuwa na elimu hii tena kwa huo uoga wako, jiandae tu kisaikolojia siku wakifnga