Nairoberry
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 935
- 528
2021 ni NYC, I predict.
Mashindano gani yapo mwaka huo?
Extravagances Africa could do without.
Kuna umasikini mkubwa sana inabidi tuuondoe kwanza kabla ya kuanza hizi habari za kuiga tembo.
Na siongelei Kenya in particular, Sub-Saharan Africa yote.Labda kidogo South Africa wanaweza ku justify.
Olimpiki ya winta
Hapana. Hayafanyiki mwaka huo
Kwa upande mwingine michezo kama hii ya olimpiki huleta maendeleo pia
basi ile ya vilema...paralympics
Kwa upande mwingine michezo kama hii ya olimpiki huleta maendeleo pia
Paralympic games zinafanyika mwaka mmoja na Summer Olympic games
Kwa hiyo, hiyo ya vilema pia haitakuwa mwaka huo
Na inaweza kuleta hasara pia.
Zinakatumika pesa nyingi kwa ajili ya matayarisho, lakini facilities zikashindwa kutumika baada ya michezo kuisha.
Wakenya wajiandae na mikodi tu.
hayo ni maoni yako pekee, hakuna vile africa kusini itahost olympics na wali host world cup kwa sababu ya support ya nchi zingine barani, ni wakati wao kusupport nchi nyingine africa kuhost olympics. wewe pia naona ni kibaraka tu wa africa kusini si angalau hata useme dar itaweza kuhost tukusupportI just don't think Kenya can pull it off. South Africa, maybe.