Nairobi plans to bid for 2024 olympics

Nairoberry

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
933
525
Kenya's capital Nairobi is planning to bid for the 2024 Olympics and become the first African city to host the Games, the prime minister said on Wednesday."Kenyan Prime Minister Raila Odinga, speaking at the Kenya National House today, announced that the Republic of Kenya will be starting the process of pitching to host the Games of the 33rd Olympiad in 2024," a Kenya House announcement said."If successful, these Games will be the first ever held in Africa."The International Olympic Committee will elect the 2024 host city in 2017, with official campaigning to start two years earlier.There have been African bids in the past, most recently with Egypt's Cairo unsuccessfully bidding for the 2008 Olympics that were awarded to Beijing.South Africa's Cape Town had also bid for the 2004 Games, staged by Athens. The country did, however, host the 2010 soccer World Cup, the first to be held on the African continent.The 2016 Olympics will be held in Rio de Janeiro - the first in South America - while Tokyo, Madrid and Istanbul are bidding for the 2020 Games
Nairobi plans to bid for 2024 Olympics, with a decision to be taken next year
 
Hizi visions zinasaidia sana kupeleka nchi mbele na kuwafanya wakenya kujivunia nchi yao!
Kumbukeni CAN Angola ndio ilionesha how commited the country was to developing its infrastructure.
World Cup SA was a success. hata kama they are still paying the financial cost, the investment was worth it
Ikiwa Kwnya ita-bid, I will cheer with my two hands. Hata TZ tutafaidi sana upande wa tourism... Go#Kenya!
 
Casablanca, Durban na Alexandria pia zinatarajiwa ku-bid kwa mwaka huo huo 2024
 
Extravagances Africa could do without.

Kuna umasikini mkubwa sana inabidi tuuondoe kwanza kabla ya kuanza hizi habari za kuiga tembo.

Na siongelei Kenya in particular, Sub-Saharan Africa yote.Labda kidogo South Africa wanaweza ku justify.
 
Yaani majirani zetu hapa tz wanataka kuandaa mashindano ya olmpk 2024 wakati tz hata haifikirii hata baada ya miaka 100.
 
Extravagances Africa could do without.

Kuna umasikini mkubwa sana inabidi tuuondoe kwanza kabla ya kuanza hizi habari za kuiga tembo.

Na siongelei Kenya in particular, Sub-Saharan Africa yote.Labda kidogo South Africa wanaweza ku justify.

Kwa upande mwingine michezo kama hii ya olimpiki huleta maendeleo pia
 
Kenya hapa kazi ngumu lakini inawezekana bidii zaidi ikitiliwa maanani. yote yawezekana mipango na ratba ziwekwe sasa hivi go go go go Great naiRoberry the green metropolis under the sun
 
Na inaweza kuleta hasara pia.

Zinakatumika pesa nyingi kwa ajili ya matayarisho, lakini facilities zikashindwa kutumika baada ya michezo kuisha.

Hiyo ni kweli. Ingawa nadhani faida in the short and long term huwa zinaishinda hasara. Centennial Olympic games in Atlanta left over 600 million dollars worth of infrastructure. Kwangu hiyo ni faida.
 
I just don't think Kenya can pull it off. South Africa, maybe.
hayo ni maoni yako pekee, hakuna vile africa kusini itahost olympics na wali host world cup kwa sababu ya support ya nchi zingine barani, ni wakati wao kusupport nchi nyingine africa kuhost olympics. wewe pia naona ni kibaraka tu wa africa kusini si angalau hata useme dar itaweza kuhost tukusupport
 
Back
Top Bottom