Naipenda simu yangu ya windows

jamani naomba kuuliza bei ya lumia 520
 
Kma umeamua kutumia windows phone bila yashaka utakua ni mfanyakazi ambae unafanya kazi zako kwa office package coz aim ya bilgate kwa future ni kutaka kuwafanya wafanyakazi kufanya kazi muda wote hata wakiwa lunch na majumbani mwao
 


Nauzimia sana huu mwonekano
 

Attachments

  • wp_ss_20150413_0002.png
    45.1 KB · Views: 281
Nina 150,000 nahitaji lumia 520 mwenye nayo tuwasiliane please 0783953988
 
Nina 150,000 nahitaji lumia 520 mwenye nayo tuwasiliane please 0783953988

Nna Lumia 620 power button mbovu. Kuitengeneza pale midcom sh 30,000. Naiuza 180,000.
 
Ngoja nijichange nikachukue Lumia aiseeeee lol utamu kama huu unanipitaje aiseee

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…