kuna tetesi za 940 ila sio zakuaminika
-iris scanner ya infrared inayofanya kazi hadi usiku
-itakuwa na dock hivyo kuitumia kama pc ukiwa nyumban
-kutakua na sensor za kumjua kama mtu ni left handed au right handed ili os iji adjust
-sd 805/810
-30mp camera
Yes but is to big for far too many people, and it is categorically a phablet not a phone. So sio kundi moja na 930. Ni sawa na kulinganisha iPhone 6 na 6 plus, 6 plus is a better phone ila huwezi kuzifananisha.
Mi pia ninayo 620 ila ukizingatia kina around 1300mah muda kinaokaa na chaji sio mbaya. ndio wp yenye battery ndogo kushinda zote. windows phone inakaa na chaji sana kushinda ios na android thats why lumia 1520 na 3400mah ipo juu kwenye test za gsmarena japo kuna simu zina zaidi ya 4000mah. hasa standby wp zipo vizuri
Yeah kaka, 1520 ni simu kubwa hata mimi siipendi kwasababu siwezi kuihandle kwa sababu ya ukubwa. Na mimi sio mtu wa simu kubwa.
Ninachoongelea hasa ni kwenye specs, mimi ni mpenzi mkubwa sana wa Nokia, napenda device yao.
Last time kumiliki Nokia ilikuwa 620, ofcourse ilinisumbua kiasi fulani. Nikahamia apple kwasababu ninapata kile nilichokuwa nakosa kwa lumia.
1. Storage kuwa limited sana, dunia ya leo simu ya gb 8 sio simu. Tunahitaji kuanzia gb 32 kwenda mbele.
2. Battery life ni disaster kwa simu nyingi sana zikiongozwa na androids the windows phone
Nokia waje na flagship sio simu ya kawaida. Waje na simu ya kushindana na kina apple
mi labda nipo tofauti...napenda Lumia kubwa kubwa tu...yaaani dahaa hata battery life inakaa sana mfano 1520 na 1320 dah..rahatupu
fanya kama umekosea hivi nunua lumia 1020
au soma soma basi hata kugoogle hujui mkuu unamfahamu Carl Zeiss
toka october 2011 sonny alinunua share za erricson. deal likakamilika february 2012.
kama una simu ya sonyerricson tambua una simu ya kizamani
Acha undez jina la bland limebdrika siyo device ilikua n sony ericson now n Sony mobile cooperation
Then usikalili eti kinachofnya mob phn ku function kaz ya pc ni processor hv unajua kaz ya processor!? Pc ina mult fnctn nying ni kwasabu ya mambo meng amabyo simu haiwez
Intel siyo wazarshaji pekee wa processor hapa dunia kampuni zipo nying tu bob swala la Microsoft na kampun nyingne kutoa simu unazowaza wewe zifanye kazi ya pc ni ndoto pc inauwezo wa kufnya kaz nying kuliko unavyoichulia wewe poa poa kijana
Lumia 1020 ni bei gani??
imeshushwa bei sasa hivi hadi usd 349 ukibahatika kupata duka lenye stock mpya unaweza ipata around laki 7.
Lakini inakera kugundua kuwa chip yake haisupport maboresho ya camera yanayokuja na denim. Namaanisha lumia camera 5 ambayo pamoja na features nyingine kama rich capture, ya muhimu kabisa kwangu ni uwezo wa lumia camera kufunguka kwa speed na kuprocess picha kwa speed.
kabisa mkuu hata lumia 1320 si haba
Lumia yangu sasa haileti notification za tapatalk , sasa napata shida kujua notification za jamii forum . Na hii ni baada ya ku- update kwenda denim