Naipenda simu yangu ya windows

Jinsi gani ni set cortana kwenye lumia 520 maana inaniambia regional settings sio
 
Jinsi gani ni set cortana kwenye lumia 520 maana inaniambia regional settings sio
simple nenda setting badili regional seting weka tanzania au unataka kufanya nn
 
Inakuja bing

then cortana hayupo na simu yako haina lugha ya kingereza cha marekani.

eka language iwe english us na region iwe us.

then kacheki updates kama utaona kuna update install then simu itajirestart halafu utaona lugha ya kimarekani inatokea na unapata cortana.
 

Okay nitakuja na feedback ndugu
 
Mi regional setting ni tanzania lugha ni english us na cartana yupo aisee. labda ajaribu ku update simu yake. sana sana kui RESET!!!!
Inaonekana ilikuja na setting za mtu . au kuna mtu aliseti akiwa nchi nyingine so ilivyofika kwako cortana kasepa...

RESET SIMU KIJANA!!
 

Basi hiyo UI yake ndo iliyonichoshaga aisee niliwahi kukaa na Lumia 520 kipindi hicho imetoka toka kwa siku 3 aiseee ikaniboa hatare aiseee,na pia nilikua naizimia sana lumia 720 sema basi tu android yangu imekufa design labda nina weza kuijaribu hizi za matoleo mapya mapya ila kwa kweli daaahh windows bana binafsi
 
mi nina tecno ngoja nitest namuaminia sana mchina kwa sarakasi
 

kwa version mpya ui haijabadilika sana ni zile zile tiles. angalia home screen zangu bado zinaboa au zipo tofauti?

hii ni original homescreen nimeeka tu walpaper ya mbwa mwitu


na hii ni special mode inaitwa high contrast


ninachopendea hii os ni hizo live tiles na uwezo wa kupin chochote kwenye homescreen.
 
Chief-Mkwawa MWC is over but you did'nt say a word kuhusu Lumia 640 &640XL kuanzia specs design and price.
 
Last edited by a moderator:
Jaman kilio changu bado sijafutwa machozi, tangu mwezi wa 12 natafuta betri la lumia 920 , dar kwa mid com nilikosa , watu wanasema niagize ila sina experiance ya kuagiza e bay. Simu nimeiweka tu kwenye droo
 
Jaman kilio changu bado sijafutwa machozi, tangu mwezi wa 12 natafuta betri la lumia 920 , dar kwa mid com nilikosa , watu wanasema niagize ila sina experiance ya kuagiza e bay. Simu nimeiweka tu kwenye droo

zipo mpaka chini ya dola 10. una credit card na sanduku la posta?
 
Ahaa . Embu nijaribu kuanza hiyo pay pal. Ingawa kuna kipindi nilienda crdb bank wakasema hawajui jinsi ya kuniunganisha na pay pal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…