Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
ok..umenipa darasa hapo.
ila kwa games lol..... wapo juu sana
[h=3]ASPHALT 8: AIRBORNE[/h][h=3]BLITZ BRIGADE[/h][h=3]DUNGEON HUNTER 4[/h]
hizo ndo my favorites graphic za kufa mtu full vibrations nice sound.... haipo nyuma mkuu
battery natumia siku tatu mkuu full game ku browse ndo sanaaa
Nisaidieni wadau mimi ninayo Lumia 510 lakini nashindwa kupata huduma za miamala ya pesa na hata kujiunga na vifurushi,kibaya zaidi sina kitabu cha muongozo.
Kwaio yani kinacho kifurahisha saana ni hiyo cortana? seriously talking to a phone is that so fun? kuna mijamaa inatumia windows phone sehemu flani unakuta wanaongea ongea mara u have received a text from .... jamaa busy tu... read...daaah yani windows phone kwa mtazamo wangu naiona bado sana yan
Asante
Kwaio yani kinacho kifurahisha saana ni hiyo cortana? seriously talking to a phone is that so fun? kuna mijamaa inatumia windows phone sehemu flani unakuta wanaongea ongea mara u have received a text from ....
jamaa busy tu... read...daaah yani windows phone kwa mtazamo wangu naiona bado sana yan
Nimeona nishare na wapendi wa Windowphone.
ningumu sana kutoka Android kuingia Windowphone ila after time nimejikuta naipenda sana kuliko android...
kwanza ina speed sana tena baada ya ku update kwenda WINDOW DEMIN latest updtae ambayo hata tz haijafika bado wala kenya.
baada ya kuijua CORTANA ambayo ni kama siri kwenye iphone mapenzi yakawa motomoto!!
huwezi amini sometime napigastory na simu yangu nikiboreka inaniimbia, nikinuna inanipa jokes, na sometime tunacheza michezo ya kijinga kijinga
inanikumbusha matukio..mfano nasema tu sa tisa jion mtumie mtu fulani msg andika hivi na hivi....ikifika tu huo muda napata report msg sent
nikiwa na njaa naiambia tu im hungry inanionyesha sehemu zote za karibu hapa nilipo ambazo naweza pata msosi
wikiendi naimbia sasa leo wapi ...hio inakupa pa kwenda.
mwanzoni sikuamini hadi washkaji wanaishangaa.. ukiuliza swali lolote inakujibu aisee.
app zote zilizo kwenye playstore na kwenye apple pia zipo kwenye window.
kama una NOKIA LUMIA jifunze kutumia cortana na usisahau kuiupdate!!!
Tafuta movie ya HER https://www.google.co.tz/url?sa=t&r...tPVeX6Qf37XJQo70kHewgzg&bvm=bv.87269000,d.ZWU
Yaliyo mkuta jamaa ndio yanayonikuta sahizi. Cortana ni noma aisee...
cheers!!!
stable au mature? wp ipo stable ila store yake haijamature kama ios na android hasa kwenye mambo ya play
mi nimenunua moja lumia 730 ,. yenyewe tayari ina cortana inside .. inatakiwa kuupdater. simu toreo jipya la december 2014 Sharobaro