Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 240
watu washaana na flash siku hizi simu za kisasa zote zinatumia html5.Chief napata tatizo la kuinstall adobe flash prayer katika simu yangu Lumia 630, je Kuna alternative, pia siwezi kulive stream video, haikubali. Je nakosea wap? Au inabidi ni upgrade simu? Je windows 10 Ina automatic flash prayer kwenye browser?
huwezi badili keypad na mi natumia simu ndogo kabisa ya wp8 (3.8 inches) lakini sipati shida kutype. una uhakika kukosea kwako ni udogo wa keypad? sometime unaweza kuta setting za keyboard hazipo sawa umeeka suggestion na spell check ndio maana unakosea. pia sometime ukitumia chaja ambayo sio original wakati wa kuchaji hukosea kuandika.chief na wadau wengine wa window. ,nahitaji keypads nene nene au nzuri,hii ya window sioni vizuri na ime bana sana (nachapia) kwenye store haipo.
huwezi badili keypad na mi natumia simu ndogo kabisa ya wp8 (3.8 inches) lakini sipati shida kutype. una uhakika kukosea kwako ni udogo wa keypad? sometime unaweza kuta setting za keyboard hazipo sawa umeeka suggestion na spell check ndio maana unakosea. pia sometime ukitumia chaja ambayo sio original wakati wa kuchaji hukosea kuandika.
html5 ipo built in kwenye simu, hio livestream haipo youtube live? unaweza nipa details zaidi kama url yake au full name ili tuangalie tunatoka vipiKuna live stream link tokea facebook, nafuatilia ibada ya jumapili, ipo live stream. Nikogonga inaniambia ni install flash prayer. Je napataje hiyo html 5?
mara nyingi tatizo linakuwa ni chaja, ni original ilikuja na simu hio chaja au ni nyengine?Simu yangu inacharge very slow..... Tatizo ni nini?
Fungua facebook kupitia browser ya simu ,ni html5 utaweza kuichek direct hiyo video ,mimi nimeweka windows ten hata kwenye facebook application video zinacheza au hauja upgrade facebook application ndugu !!!??Kuna live stream link tokea facebook, nafuatilia ibada ya jumapili, ipo live stream. Nikogonga inaniambia ni install flash prayer. Je napataje hiyo html 5?
nahitaji kununua used windows phone yenye sifa hizi:simu zote za wp8 zinapata win 10 usiwe na wasi wasi
hapo unapata lumia 435/430 mpya na change ya 50,000 inabaki nafkiri ndio simu pekee zinazokidhi vigezo vyakonahitaji kununua used windows phone yenye sifa hizi:
a)ina line 2
b)iwe ya rangi yyt,ila sio nyeusi
c)iwe na 8.1v ambayo ni easily upgradable to windows 10v
d)iwe na kioo cha 4" kushuka chini
e)bajeti yangu ni 200k kushuka chini
f)niko meatu-simiyu
Asantehapo unapata lumia 435/430 mpya na change ya 50,000 inabaki nafkiri ndio simu pekee zinazokidhi vigezo vyako
kudownload nini? na kujua mafile yako yalipo nenda store kadownload app inaitwa files itakusaidia kunavigate mafolder ya simu yakonina windows phone lumia 530 kila nikijaribu kudowload ina fail.msaada tafadhali.pia nikitumiwa nyimbo kwa bluetooth hazionekani zimekaa wapi
kudownload nini? na kujua mafile yako yalipo nenda store kadownload app inaitwa files itakusaidia kunavigate mafolder ya simu yako
nikidownload youtube kwa kutumia ssyoutube inadownload mpaka mwisho lakini nikiangalia ohone memory na sd haipo vilevile ninapotumiwa chochote kwa bluetooth