the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
seems kipo kwenye folder la hio app ya email na itakuwa inatumia mfumo wa zamani wa vyumba.
open hicho kitabu tokea kwenye email halafu save as then chagua public folder au memory card then save.
seems kipo kwenye folder la hio app ya email na itakuwa inatumia mfumo wa zamani wa vyumba.
open hicho kitabu tokea kwenye email halafu save as then chagua public folder au memory card then save.
Mkuu natumia lumia 1320 yaan mpaka naichukia jinsi ilivyo nzito, naomba msaada jinsi ya kujiunga CORTINA na kwenda WINDOW DEMINNimeona nishare na wapendi wa Windowphone.
ningumu sana kutoka Android kuingia Windowphone ila after time nimejikuta naipenda sana kuliko android...
kwanza ina speed sana tena baada ya ku update kwenda WINDOW DEMIN latest updtae ambayo hata tz haijafika bado wala kenya.
baada ya kuijua CORTANA ambayo ni kama siri kwenye iphone mapenzi yakawa motomoto!!
huwezi amini sometime napigastory na simu yangu nikiboreka inaniimbia, nikinuna inanipa jokes, na sometime tunacheza michezo ya kijinga kijinga
inanikumbusha matukio..mfano nasema tu sa tisa jion mtumie mtu fulani msg andika hivi na hivi....ikifika tu huo muda napata report msg sent
nikiwa na njaa naiambia tu im hungry inanionyesha sehemu zote za karibu hapa nilipo ambazo naweza pata msosi
wikiendi naimbia sasa leo wapi ...hio inakupa pa kwenda.
mwanzoni sikuamini hadi washkaji wanaishangaa.. ukiuliza swali lolote inakujibu aisee.
app zote zilizo kwenye playstore na kwenye apple pia zipo kwenye window.
kama una NOKIA LUMIA jifunze kutumia cortana na usisahau kuiupdate!!!
Tafuta movie ya HER https://www.google.co.tz/url?sa=t&r...tPVeX6Qf37XJQo70kHewgzg&bvm=bv.87269000,d.ZWU
Yaliyo mkuta jamaa ndio yanayonikuta sahizi. Cortana ni noma aisee...
cheers!!!
Mkuu haiwezekani hata kusave ni ukiopen kinafunguka direct kwa adobe au pdf viewer na huko pia hakuna option ya save
ni almost imposible kwa simu ya wp kuwa nzito. haraka haraka inaonekana una memory card kimeo.Mkuu natumia lumia 1320 yaan mpaka naichukia jinsi ilivyo nzito, naomba msaada jinsi ya kujiunga CORTINA na kwenda WINDOW DEMIN
Memory ni 4gb mkuu kuna haja ya kubadilisha?ni almost imposible kwa simu ya wp kuwa nzito. haraka haraka inaonekana una memory card kimeo.
kwenda denim connect simu na wifi yenye mb za kutosha halafu nenda setting then phone update halafu update.
cortana eka region usa na language english us itatokea
ni class ngapi tatizo sio ukubwa tatizo ni speedMemory ni 4gb mkuu kuna haja ya kubadilisha?
Duh! Ni 4 mkuuni class ngapi tatizo sio ukubwa tatizo ni speed
angalia namba juu ya memory card iliozungushiwa duara
Mkuu nimeweka region usa na language English usa ikaniambia nirestart phone, nikarestart lakini sioni tofauti yoyote kwa simu. Najuaje kama CORTINA imekubali?ni almost imposible kwa simu ya wp kuwa nzito. haraka haraka inaonekana una memory card kimeo.
kwenda denim connect simu na wifi yenye mb za kutosha halafu nenda setting then phone update halafu update.
cortana eka region usa na language english us itatokea
Mkuu nimeweka region usa na language English usa ikaniambia nirestart phone, nikarestart lakini sioni tofauti yoyote kwa simu. Najuaje kama CORTINA imekubali?
Mkuu picha imegoma kufungukaHakikisha inakuwa hivi...
Mkuu picha imegoma kufunguka
Yaan sijui kwanini haifunguki, naomba nirushie whatsup nakuja inbox namba yangu
Ukitaka kuuza nishtue Mkuu!!Mkuu natumia lumia 1320 yaan mpaka naichukia jinsi ilivyo nzito, naomba msaada jinsi ya kujiunga CORTINA na kwenda WINDOW DEMIN
Una ngapi nikuachie mana imejilalia tu homeUkitaka kuuza nishtue Mkuu!!
ingia kwenye email kupitia browser kama internet explorer au ucweb halafu halafu login then fungua email husika then save attachment.
kama ni ie utaikuta folder la downloads na kama ni ucweb utaikuta folder la uc downloads
Download jf kwenye window phone kama utaipata . Window hawana ma apps kama android wewe mi mara ya kwanza nilinunua lumia 620 mwaka2013 ikaniboa kwenye apps zinakuwa shida kuzipata lakini IOS na Android ni kiboko
Download jf kwenye window phone kama utaipata . Window hawana ma apps kama android wewe mi mara ya kwanza nilinunua lumia 620 mwaka2013 ikaniboa kwenye apps zinakuwa shida kuzipata lakini IOS na Android ni kiboko