Naipenda sauti ya huyu mtangazaji.

Aisee ka-mimi nilivyokuwa nafikiria..halafu nilidhani labda ni white flan hivi...

Umeona eee???
Yaani nami nlidhani hivyohivyo, tena akili ikawa inaniambia ni kama half-cast (chotara) flani hivi dizaini za Dj-Fety, kumbe ....
 
Kosa lipo. Sasa measures reported zitakuwa za mama ama mtoto? Na tunajumlisha, kutoa ama kugawanya? Ndo maana tunafeligi mitihani, following instructions is a nightmare
kin'gasti jamani,sasa kosa liko wapi hapo? Yeah kaweka na ya mtoto jamaa achukue the right measures.
 
Mary 'the night nurse' wa East africa radio

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kumbe ndo huyu Barbra? Saut yake na muonekano wake ni tofauti kabisa, anavyoongea utadhani ni binti mdogo, big up mama, nimekupenda ulivyo
 
Beautiful African Woman,wapenda mikorogo
utawajua tu,halafu kumbukeni shes 30+ hawezi kuwa kama 16 au nyie mko sawa na mlivyokua 10 yrs back?
 
Back
Top Bottom