Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,210
sio da zuu ni dahuu!Hodi jamvini kwa kweli lazima niseme ukweli sauti ya mtangazaji Da Zuu wa cloud radio.
Naipenda sana anapo tangaza natamani aendelee kwa wale mlio karibu naye mfikishieni salam zangu.
Toa hisia zako kama kuna mtangazaji unayempenda kwa namna yeyote ile povu kafulie nguo hapa halitakiwi.
Asante mkuu kwa kuniweka sawasio da zuu ni dahuu!
[emoji12] [emoji13] mkuu mm napenda sauti tu mkuuNilisikia hata yeye akidai anaupenda uandishi wa NKUNGULUME wa JF .Hapa tuasema mbuzi kafia kwa muuza supu.
Sawa mkuumyafute@ig umwambie....
Nilifikiria kiwango cha lami kumbe......myafute@ig umwambie....
kumbe nini?Nilifikiria kiwango cha lami kumbe......
Asante mkuu ni kiwangomyafute@ig umwambie....
Napenda sana sauti katulia hana harakaKwa kweli anaongea vzuri,,,ananiachia yuko huru