Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,152
Ulisharogwa siku nyingi!! Hatukushangai !!!Hiki ndio chama pekee kinachojali maslahi ya wanyonge.maskini na walalahoi. Nawashauri Watanzania mliodanganyika na wapinzani, muondoke huko.
Hao ni walaghai na mabaka uchumi.
CCM daima