Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 12,231
- 9,552
Mimi mwenyewe naipenda sana CCM ikitokea baba yako mzazi akabahatika kupata nafasi ya uongozi ndani ya CCM basi familia yote mnakuwa mmepata haki miliki ya uongozi ndani ya CCM na ndani ya serekali ya CCM hakuna mtu mwingine anayeweza kufanya fyoko nje na familia iliyobalikiwa na CCM.