Naipenda sana CCM, hutaki acha

Naipenda sana CCM, hutaki acha

Najua hata wewe unayaandika haya lakini nafsi yako inakushudia kabisa ukweli ya kwamba unachokiandika hukiamini lakini unafanya hivyo ili mkono uende kinywani.

Hii pia inawahusu wale misukule wote wa lumumba, wanajijua.
 
Hiki ndio chama pekee kinachoji maslahi ya wanyonge.maskini na walalahoi. Nawashauri Watanzania mliodanganyika na wapinzani, muondoke huko.

Hao ni walaghai na mabaka uchumi.

CCM daima

Hapa naona umeamua kukutanisha mbingu na ardhi kitu ambacho hakiwekani mpaka Yesu arudi.
 
Hiki ndio chama pekee kinachoji maslahi ya wanyonge.maskini na walalahoi. Nawashauri Watanzania mliodanganyika na wapinzani, muondoke huko.

Hao ni walaghai na mabaka uchumi.

CCM daima
Ulichokiandika sijakuelewa labda ubadilishe lugha
 
Vijibwa vya ufipa vinabweka bweka ovyo bila kujenga hoja..ni ccm pekee yenye kubeba matumaini ya watz wote bila kubagua kama kampuni za kichaga na kipemba
 
Ukiwa unaipenda CCM ya sasa ni aidha utakuwa unanufaika kutokana na jasho la wananchi (fisadi; mnyonyaji) au utakuwa hujitambui unatoka wapi na unaelekea wapi (huna dira wala muelekeo)... Ni hivyo tu hakuna tafsiri nyingine!!
 
Hata watanzania wanajua ccm ndio chama kilichobaki na Ufisadi na mafisadi kuachwa viporo
 
Hiki ndio chama pekee kinachojali maslahi ya wanyonge.maskini na walalahoi. Nawashauri Watanzania mliodanganyika na wapinzani, muondoke huko.

Hao ni walaghai na mabaka uchumi.

CCM daima

....haya kauchukue posho, unatujazia seva tu...
 
Hiki ndio chama pekee kinachoji maslahi ya wanyonge.maskini na walalahoi. Nawashauri Watanzania mliodanganyika na wapinzani, muondoke huko.

Hao ni walaghai na mabaka uchumi.

CCM daima
Ulichokiandika sijakuelewa labda ubadilishe lugha
 
Vijibwa vya ufipa vinabweka bweka ovyo bila kujenga hoja..ni ccm pekee yenye kubeba matumaini ya watz wote bila kubagua kama kampuni za kichaga na kipemba

Wanahisa wa Arusha, Moshi wanachukia sana wakisikia hivyo.
 
Wana CCM kama mngebakia kwenye msingi ambayo ijijengwa chini ya uongzi wa Baba wa taifa; hakuna mtu angewachukia na kuwabeza!!

Msingi hii imebakia kwenye makabrasha tu hapo Lumumba!! - Kuongoza nchi ni lazima ujitoe nafsi yako wa ajiri ya watu wengine, sasa mtu anachukua mil 10 za umma anasema alinunua mboga!! kweli?? tutafika wa style hii -- HAPANA.

Wana CCM enzi za Mwalimu waliamini na kuzingatia ahadi hizi:-

1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Dunia ni moja
2. Nitaitumikia nchi yangu na binadamu wenzangu wote kwa unyenyekevu na moyo wa upendo na huruma
3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, maradhi, na dhuluma hapa nchini na duniani pote.
4. Rushwa ni adui wa haki, sitatatoa wala kupokea Rushwa.
5. Cheo ni dhamana sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
 
Hiki ndio chama pekee kinachojali maslahi ya wanyonge.maskini na walalahoi. Nawashauri Watanzania mliodanganyika na wapinzani, muondoke huko.

Hao ni walaghai na mabaka uchumi.

CCM daima

Sethe singasinga anawapenda sana ndo maana aliiba fedha za umma na kuwagawia wanaCCM, Wezi wenzie
 
Yaonekana mleta mada hii dishi limeyumba, au hizo tunguli zimekuchanganya si bure
 
Back
Top Bottom