brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,268
Wake waombaji mupo?
Hahah tupo wengi sana,omba upate mke muombaji utatembea chini ya neema yake
Wake waombaji mupo?
Kileleni ufike wewe goti nisugue mimi haahahaha@ladyred unapooza engine sehemu? Hem' pambana kumuombea mr aki-cheat, ndoa hujengwa/hubomolewa na mwanamke.
daahTunaangalia primary responsibility ya mwanamke, hilo lingine wanasaidia tu coz lifestyle imebadilika. Otherwise mwanamke kiasili ni mtu wa kunyoosha miguu na kusubiri kuhudumiwa.
Ndio maana hata kwenye tendo pendwa wewe kazi yako kubwa ni kuchanua na mengine mengi anafanya Mr wako, ila kwa sababu ya lifestyle kubadilika, leo hii lazima kuna nyakati unakaa juu na kusimamia show(unamgonga mr wako).
Another mama karisa in townKileleni ufike wewe goti nisugue mimi haahahaha
Utamuombea tu hata kama hapa unanibishia. A man gotta be a man, he rules, you know!Kileleni ufike wewe goti nisugue mimi haahahaha
Ndio maana hata kwenye tendo pendwa wewe kazi yako kubwa ni kuchanua na mengine mengi anafanya Mr wako, ila kwa sababu ya lifestyle kubadilika, leo hii lazima kuna nyakati unakaa juu na kusimamia show(unamgonga mr wako).
Sio kuwavumilia tu bali naujue sababu zammeo kuchepuka, nakumuombea piaIli wajifunze kuwavumilia waume zao wanaochepuka?
Hata wanaume pia tumeiosoma, ila hasa nyinyi muisome vzr namumuelewe mtunzi anachomaanisha kuwa mlinzi wamwanaume nimwanamkeWanaume jee
Hahaha unapanda usaliti kwny familia afu unategemea maombi😂😂😂😂😂Utamuombea tu hata kama hapa unanibishia. A man gotta be a man, he rules, you know!
Tatizo hizi dini zilikuja kuwapumbaza tangu enzi za utumwaHata wanaume pia tumeiosoma, ila hasa nyinyi muisome vzr namumuelewe mtunzi anachomaanisha kuwa mlinzi wamwanaume nimwanamke
Смирнов братан!!... Bratan..Ushapiga Baltika ngapi??
Mama D alikuwa na sh 470,000..Katoa 30,000 kwa dereva kabakiwa na 440,000..Hii uenda ndo ikawa pesa yake ya mwisho kama Fadhili atamfungia vioo..Kitakachofwata hapo ni kudanga..
Huyu dada hata mimi ninaweza kuja kumla huko mbeleni..
Je wewe mkeo akichepuka utataka kujua sababu za yeye kuchepuka, utamvumilia na utamuombea?Sio kuwavumilia tu bali naujue sababu zammeo kuchepuka, nakumuombea pia
Akichepuka nikajua pasi na shaka nitampa talaka, "Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie"Je wewe mkeo akichepuka utataka kujua sababu za yeye kuchepuka, utamvumilia na utamuombea?
Utaomba tu hamna namnaHahaha unapanda usaliti kwny familia afu unategemea maombi
Sasa kwanini na wewe usimvumilie na kumuombea?Akichepuka nikajua pasi na shaka nitampa talaka, "Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie"
Nope, he rules only if he provides, otherwise he's gotta resign and step down.Utamuombea tu hata kama hapa unanibishia. A man gotta be a man, he rules, you know!
Mfumbe macho mtuombeeEeeh nilikuwa nasoma hizi comments nikahisi nipo FB na sio JF. How surprising a God fearing woman has been praised and honored in your comments.
Na wakati nimeshazoea kuona mtu akitaja mambo ya kusali sijui makanisa humu; tunamwita mnafiki sijui desperate; aliyejikatia tamaa na majina mengine yasiyopendeza. Sasa najiuliza hivi huyo mwanamke anayesifiwa hapa kama Tilda na mama Simon; angefikia kiwango hicho kama angekuwa hajaamua kumtafuta Mungu kweli kweli? Hivi kwa ratiba zetu za kwenda jumapili kanisani na kuhudhuria ibada saa 1 hadi saa 3 ndo inatosha kumjenga mwanamke mwombaji wa kuweza kuongea na Mungu kwa kumaanisha for hours? Obviously ni mtu ambaye amespend ana anaspend muda mwingi na Mungu (sio kushinda na kulala kanisani)..
Wangapi huwa mnaruhusu wake zenu wawe wanaenda fellowship; Ibada na semina za wanawake etc?
Zinawekwaga picha hapa labda wadada singles kwenye mkutano wa Mwakasege; mtachamba wee. Eeh yamehangaika huko; yaliringa kuolewa sasa hivi ndo yanajifanya kukimbilia kwa Mungu mnasahau kuwa wakati na bahati huwapata wote (Mhubiri 9:12) . Tuassume basi they are 30+ and desperate; hivi kuna shida gani mtu akiwa desperate then akaamua kukimbilia kwa Mungu? Kuna shida gani mtu na madhambi na madhaifu yake akiamua kumwendea Mungu? Ni wangapi walio desperate wanaishia kwa waganga; au ni vile tu waganga hawapigi picha za wanaoattend kwao? Mbona tungetafutana hapa.
Watieni moyo mabinti wamtafute Mungu; misingi wanayoijenga huko ndo inakuja kuwasaidia hata ndoani. Imagine mama D angekuwa ni mwombaji tangu ubinti wake; angekuwa malaya wa uzeeni? Au at least angekuwa mtu wa Ibada na fellowships kichaa kingempata? Mkiona wanawake wanajazana makanisani ndo wa kwanza kuwakejeli; hivi mnafikiri wote wanaoenda mule ni wanaenda tu kumwambudu Mungu; wengi wapo mule kumlilia Mungu juu ya ndoa zao. Sasa kukimbilia kanisani na kuwa malaya wa uzeeni kipi bora? Let them find comfort in Jesus
Wanaume wengi ni sababu ya wake zenu kujazana makanisani. Wanawake wana maumivu; wana uchungu wakati mwingine hata wanashindwa kupokea baraka zao; maana hawapeleki maombi bali machozi. Emu wapendeni wake zenu; mke akienda mbele za Mungu asiende kumlilia maumivu unayompa; alie kwa sababu anamshukuru Mungu kumpa mume kama wewe; alie akikuombea Mungu na yeye amkumbuke mume wake kwenye afya; uchumi; ulinzi n.k. Sasa huyo mke unayemuumiza na michepuko; hivi kweli kabisa atakumbuka kukuombea afya na uchumi wako? Kila siku yeye atalilia ndoa tu? No wonder kuna wanawake wanaomba hata waume zao wapatwe na matatizo; angalau ndo watakumbuka kuwa wana wake na familia.
Ukitaka mkeo akuombee mema; love and respect her. Ataenda kwa Mungu kumkumbushia mambo yako kwa kumaanisha; sio kukulilia machozi daily. Unfortunately Mungu hajibu kwa kuangalia machozi/emotions za mtu. Wakienda makanisani mnachamba; ila kuombewa mnataka. Mnafikiri kuomba ukiwa na back up ya neno; kunakuwa achieved kirahisi hivyo? Bado mtu aombe; aamini maombi yake na bado awe na uvumilivu majibu yake yajidhihirishe. Hapo kwenye kusoma vifungu vya Biblia; 90% tumescroll down; ndo mtu aombe kwa kuvitaja kama reference kwenye maombi yake teh. Ain't an easy task; put some respek in your prayer warrior wives/sisters