Naipenda Jumamosi yangu - Stori bomba ya uhusiano

Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
19,743
Points
2,000
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
19,743 2,000
Ndio, anaongea na Mungu kwaajili yako. Hata kama wewe hujui anaomba nini Mungu anatenda kulingana na maombi ya yule anayeomba
Sasa shemela, huyo anayekuombea anakuwa anaongea na Mungu wake yeye au Mungu wako wewe? Fikiria Mlokole anamuombea muislam
 
cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
23,603
Points
2,000
cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
23,603 2,000
Sasa shemela, huyo anayekuombea anakuwa anaongea na Mungu wake yeye au Mungu wako wewe? Fikiria Mlokole anamuombea muislam
Mimi naamini Muislam anaweza kumuombea Mkiristo na pia Mkristo kumuombea Muislam. Muhimu kwenye maombi ni IMANI.
 
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Messages
2,695
Points
2,000
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2016
2,695 2,000
Hatimae nimesoma episode zote ila natamani hii story nzuriiii waisome wanawake wote wajf
 
red apple

red apple

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
425
Points
500
red apple

red apple

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2012
425 500
Kinachopunguza maumivu ni aliefanya kosa aombe samahani na mahusiano yajengwe upya

Hii kusali ni kujifariji tu kusogeza siku...unadhani kwa nini ndoa chungu..
Sasa dear ukijifariji si ndo wapata internal healing??
 

Forum statistics

Threads 1,315,255
Members 505,171
Posts 31,851,570
Top