Naipenda JF na hawa......

Kwahiyo hapa mnadiskashen mapwenti gani nyie magrit sinkaz?
Shkamoo Babu. Utakunywa uji ama chai?
Kwa maandazi au vitumbua? he he he he
M Jr, mi nipo, naingia kila siku ila zaidi PM
 
Shkamoo Babu. Utakunywa uji ama chai?
Kwa maandazi au vitumbua? he he he he
M Jr, mi nipo, naingia kila siku ila zaidi PM
Yesu na Mariah! Ndio wamekubeba mzima mzima wakakupeleka PM!? Basi tena sina changu mie
 

hahahaaa! nakikubali kichwa hiki Bujibuji pamoja sana
Kila comment ya The Boss lazima niisome popote nikiiona
 
Last edited by a moderator:
Zion Daughter ukumbuke neno la Mungu linasema "Watawatambua kwa matendo yenu"
Haya tuambie matendo ya Bujibuji yakoje?Kumbuka Daudi alikuwa mzinzi lakn alikuwa kipenzi cha Mungu.Petro alikuwa mnafiki/alimkana Yesu mara tatu lakn aliachiwa kanisa.Kabla hujahukumu chukua nafasi ya kumuombea mtu na sio kumnenea mabaya..Mungu hapendi.
 
Aisee, MziziMkavu na Mzee Mwanakijiji hawamo, mh haya bwana!
 
Asprin umesahaulika bwana, mko busy na The Boss, ninyi ni watu muhimu sana, msiwe mnapote namna hiyo hadi members wanawasahau! oproto upo kweli, wamekusahau na mashairi yako
 
Thanks M'Jr
mi pia nwapenda wote!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mtaje basi na nivea hata kwa sifa za mgongo wa chupa!..

Dah nilikuwa nimemsahau Bujibuji; Ana akili inayoendeshwa na nusu umeme wa Tanesco na nusu wa solar kwahiyo kuna wakati inazidi, wakati mwingine inakuwa sawa na wakati mwingine inashuka saaaana mpaka inabaki ya kufumbua macho tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…