siku moja paka na mbwa walikuwa wanapiga stori. ikawa kama hivi
- paka: mimi nashangaa sana , yani huyu binadamu anatudharau sana maana katika wanyama awafugao wote anawala kasoro mimi na wewe mbwa tuuu !!!
- Mbwa: oya acha acha ujinga , uwe unatumia akili ukiwa unaongea maneno kama. usije ukaongea msemo huo IRINGA utaniponza mwenzako.
jokes jamani no offence. nawasalimu wote
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site.
Learn more…