Naipenda DAR,my City

Ni suala la privacy, wewe unaweza piga picha unapokaa na kui-post kwenye mtandao kwa ajili ya watu ambao hujawahi kuwaona wapaone??
Kama miji mingine, Dar kuna Uswazi, matawi ya kati na matawi ya juu.

huyo ana akili za kitoto.....asikusumbue
 
weka picha ya nyumba na mtaa unaoishi. Unaogopa nini?
 
Sasa wewe umetuonesha sehemu moja unasema dar nzuri.Hapo hapo piga na picha mvua ikiwa imenyesha.:wacko:
 
Sasa wewe umetuonesha sehemu moja unasema dar nzuri.Hapo hapo piga na picha mvua ikiwa imenyesha.:wacko:

si ndio maana nimesema naipenda dar...nimeweka picha zinazoonyesha kwanini naipenda.
 
Kwa Tanzania ndio mji pakee wa kuishi, kuna watu watakuja kubisha watasema eti Chunya maisha bei rahisi, nani akaishi uswekeni huko?

Mkuu maisha yapo Chunya na c Dar,huko ni full stress.Makongorosi ndo home town dar kwa nn? wakati wanaume wote ni sawa na mabinti.
 
Mkuu maisha yapo Chunya na c Dar,huko ni full stress.Makongorosi ndo home town dar kwa nn? wakati wanaume wote ni sawa na mabinti.

Watu wa kuja wakitoka huko Chunya ndio wanaishia kufanya kazi kwa wahindi ndio wanaopata stress ndani ya jiji, lakini ukiwa City boy vitu easy tu pale.
 
Watu wa kuja wakitoka huko Chunya ndio wanaishia kufanya kazi kwa wahindi ndio wanaopata stress ndani ya jiji, lakini ukiwa City boy vitu easy tu pale.

subiri povu lao sasa....maanake mimi kuweka picha tu nimeandamwa mpaka natakiwa niweke picha ya nyumbani kwangu utafikiri niliwaambia naishi kwenye hizo picha!!
 
damn i love this city..........



 
dar makao makuu ya kila kitu!!
Hata wakina Shyland kutoka kanda ya ziwa wanalijua hilo....na kila siku tunawaona wakiwa wamejazana kwenye mafuso na maroli wakiingizana DAR ES SALAAM kuja kusafisha macho na kutoa tongo tongo la maporini walikotoka..................................(JOKE)
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…