Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,643
Kwa maslahi binafsi.. Ndio wengi walivyoMsema kweli mpenzi wa mungu,naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi.I
Mengi tu mkuu zaidi ya hayoYapi ?. Kupewa PHD na uchawa
Kwa maslahi binafsi.. Ndio wengi walivyo
Uko sahihiMsema kweli mpenzi wa mungu
CCM chama bora kabisa ukanda huu,kinatoa fursa kwa wote mkuu.Karibu kundiniUko sahihi
Afadhali wewe umeweza kutambua faida za CCM na utawala wake.Msema kweli mpenzi wa mungu,naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi.Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi.Mungu ibariki CCM Mungu ibariki Tanzania.
CCM imenipa vingi japo mimi nimeipa vichache mpaka najihisi sikusitahili mkuuUko sahihi
Mkuu CCM ni chama chenye fadhila,nadhani mfumo wao wa uongozi unajitosheleza kuanzia ngazi ya chini mpaka juuAfadhali wewe umeweza kutambua faida za CCM na utawala wake.
Wenzako huko upinzani waliishia kupigishwa deki na Lowasa afu hela za ujio wa wake chamani akala Mbowe na genge lake bila kuwapoza na wao kidogo.
Juzi juzi walichangishwa pesa za kuwajazia boda boda mafuta ili wakampokea makamu, wakitarajia kuwa makamu amekuja na fungu kubwa la fedha kutoka ulaya.
Sasa cha kushangaza makamu kaingia mitini bila kuwachia chochote. Hadi wamechanganyikiwa.
Mkuu msema kweli mpenzi wa mungu,au makosa kusema ukweliTunawajua nyie mmepewa utendaji wa kata bhas imekuwa shida kweli vijana wa siku bogus kabisa
Ikizingatiwa mnarudishwa kwenye ujamaa vijijini a.k.a Gezaulole kupitia block farms za Bashe. Ajira nje nje.Msema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi.
Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi.
Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.
Wewe ndiyo kati ya wale,siku CCM ikitoka madarakani,ndiyo mtajua kumbe duniani kuna jera na matesoMsema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi.
Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi.
Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.
Wewe utakuwa chiziMsema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi.
Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi.
Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.
Msema kweli mpenz wa mungu mkuuIkizingatiwa mnarudishwa kwenye ujamaa vijijini a.k.a Gezaulole kupitia block farms za Bashe. Ajira nje nje.
Msema kweli mpenzi wa mungu mkuu
CCM haiwezi kutoka madarakani mkuuWewe ndiyo kati ya wale,siku CCM ikitoka madarakani,ndiyo mtajua kumbe duniani kuna jera na mateso
Mungu ni mwemaIbarikiwe CCMπππ