Naipataje simu ya android iliyoibiwa?

Naipataje simu ya android iliyoibiwa?

Yap Mkuu, Na Android Wangekua Na Security Kma Hii.... Ingekua Poa Ila Kuna Application Moja Kwa Android Nayo Inaweza Kumkata Mwizi.

Lakini kwa simu zilizokuwa rooted mkuu... Ni ikipata mtu mjanja... Akichange rom kwisha habari ako...
 
Lakini kwa simu zilizokuwa rooted mkuu... Ni ikipata mtu mjanja... Akichange rom kwisha habari ako...[/QUOTED Duuhh Hilo Nalo Neno...Ila Hiyo Program Inakupa Data Pindi Alieiba Akiweka Line Kwenye Simu Ya Android Ilioibiwa.
 
Lakini kwa simu zilizokuwa rooted mkuu... Ni ikipata mtu mjanja... Akichange rom kwisha habari ako...[/QUOTED Duuhh Hilo Nalo Neno...Ila Hiyo Program Inakupa Data Pindi Alieiba Akiweka Line Kwenye Simu Ya Android Ilioibiwa.

That's how its work....
Bt unaweza kuitrack pia..
So vyote vinawezekana...
Yote tisa.... Kumi kiboko kwa wezi ni iphone mkuu.... Nafukiria kutafuta iPhone sasa....
Story ya jamaa imenifutia sana...
 
Airudishe Wapi Ndugu, Nimemfata Leo Dar, Nikiwa Pamoja Na Laptop, Icloud Ilikua Inanipa Raman Mahali Ilipo, Nilipofika Hapo, Kwenye Pc Kulikua Na Option Ya Kuifanya Iitee "PLAY SOUND" , Inshort Hapo Ndipo Nilipotumia Na Simu Ikaanza Kuita. Niliemkuta Nayo Ndie Huyo Huyo Niliempa Aisafirishe.

Aisee!!!!
 
Jaribu bahati yako, search device manager android then ingia website ya android device manager. Login na acount yako ya google halafu itrack simu. Kama hajaiformat na hajaizima unaweza mpata

Tangu ipotee nimeangalia ila naona haijawahi kuwa online tena
 
Ipoje hiyo bro?

Mkuuu kama unatumia samsung nenda kwa settings then ikiingia kwe ye setting.. Then find my mobile halafu wanakuaga na option tatu nazo ni

Remote controls
Sim change alert
Find my mobile home page...

"binafsi sijawahi kutumia, bt ni hizi za kusaidia kupotea kwa simu kama haija fanyiwa hard reset am sure unaweza kuipata....."
Kama unatumia samsung nenda hapo jaribu kufanya jaribio na wewe... Mm simu yangu nimeroot + and theft....
 
Back
Top Bottom