Naionya China, isijaribu

Baada ya vita, ukraine itakuwa imebaki nusu,, kuanzia pale mto Dniper
Marekani katenga bajeti ya miaka 5 kufadhili vita vyake huko Ukraine, unafikiri urusi atakuwa na pumzi kuhimili hiyo miaka 5?? Urusi akiteka miji Wala sio issue, maana IPO bajeti ya miaka 5,kwa hiyo game ndo kwanza linaanza..,na tuseme labda urusi kuiteka bahadhi ya miji ni gorli la mapema
 
Kwa hiyo una uhakika kwamba Ukraine itakuwepo hadi kufikia hiyo miaka mi 5.
Kama urusi alishindwa kuisambaratisha Ukraine zile wiki 3 za mwanzo wakati hii operesheni ikiwa ya moto kwelikweli, usitegemee Tena kuwa Putin atauangusha utawala wa zelensiky..., kadri muda unavyokwenda ndivyo Ukraine inavyozidi kuhimarika kwa kupokea silaha za kisasa zaidi,
 
Russia asipokuwa makini atajikuta kafilisika na hii vita, vita sio mchezo na ndio mwanzo wa umaskini, sababu kubwa ya kuanguka Russia federations ilikuwa ni matumizi makubwa ya kijeshi wakasahau uchumi, China asiingie vitani huo ni mtego, lakini nilivyoona Pelosi akiingia Taiwan na zile war jets na China hakufanya chochote wakati makombora na meli za kivita za China zinaangalia tuu basi naamini China hataingia vitani maana anajua hasara ya hii kitu
 
Mtoe India maana ni mwanachama wa BRICS

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
China ameshalisoma SoMo vizuri sana kupitia kile kinachoendelea nchini Ukraine,
Kwa hiyo usitegemee kumuona china akijiingiza kwenye mgogoro wakati huu,

Anachofanya china Kwa Sasa ni kufutafuta tu aibu Ili ulimwengu uendelee kumuona kama super pawer
 
Mswahili akishashiba maharage badala ile gasi itokee sehem sahh baas inatokea mdomon na kwenye ubongo...yaan kajamaa kanajamba kwa mdomo kiasi hik kwel..ati aliekwambia Russia yuko vitani ni nani?? Nani aliekwambia Russia alisema ndani ya siku anamaliza...ebu uwe unasoma baas..kuna watu wameaminishwa kwamba USA ndo kila kitu...hii ni tabia ya kiafrica..kwa sabab ww ulikuwa mtumwa kwao baas unazan wote wana akili kama yako..ebu jamba kupitia mfumo asili buana do not defy the nature.
 
Ahsante sana mkuu The Republican umeeleweka vyema.
 
Hata ukijipoza kwa kutoa matusi hiyo haibadilishi ukweli halisi[emoji12]
 
Hapa ndio watu wajue sasa yupi ni super power na yupi ni supa glue
Marekan bado ataendelea kuwa super power kwa sababu ana nguvu kubwa mno za kijeshi, uchumi mkubwa na imara zaidi, ana uwezo wa kutengeneza maadui karibu na mipaka ya adui yake ili awatumie hao maadui ku deal na ww kijeshi na kisaikolojia kama tunavyoona alivyomtengeneza adui wa Russia (Ukraine) na adui wa China (Taiwan) nk.
 
Nimuda sahihikabisa Kwa uchina kuchukuwa hatua kaletena kala mrusi haja acha operation yake,na pia ni muda sahihi zaidi ya ushiriki wa mchina na mrusi dhidi ya beberu wa ulaya na America na ni muda sahihi wakuwadhoofisha zaidi,kama mrusi ameweza kuwatikisa pamoja na umoja wao mungano wa mrusi na mchina na harakati zao ni tulizo Kwa mabeberu hutaki muulize kiherehere BoJo,Macron,Dragh mjanja TU ni victor Orban kwani amewakataa mabeberu mchana kweupere🏃
 
Acha kutudanganya,huyo ni mnaa maana anawatumia mazuzu yeye kuwa salama🤔
 
Yaani wewe kwa akili yako na upeo wako unahisi umewazidi think tank na strategist wa Russia?? Kwamba wewe umeona mtego halafu wao hawajaona??? Msipende kuleta ujuaji kwa vitu ambavyo ukweli halisi hatutakuja kuufahamu kwa sasa!!!!
Nb: Dunia inaongozwa kwa siri sana.Mimi na wewe hatuzifahamu.
 
Sawa mkuu we endelea kuwapa moyo warusi ila kuna siku tutaufufua huu uzi ujibu maswali nitakayokuuliza muda huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…