Naiona TAKUKURU yenye kasi na viwango!

Naiona TAKUKURU yenye kasi na viwango!

njeeseka

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,374
Reaction score
985
Jicho langu la tatu na la nne limeona mbali. Taasisi hii imeshika kasi na meno yake yanauma hasaa.

Kuanzia ishu ya bandari hadi IPTL kweli mimi binafsi ninaridhika kiasi woga wa rushwa utaongezeka. Sijajua kasi hii ni kwa sababu na show za Mhe. Magufuli au ni Utendaji wa Boss aliyepo sasa.

Hata hivyo naweza kusema Boss ameonyesha tofauti kubwa na aliyepita. Ni wakati sasa tusaidie kuchangia maeneo ya kuchungulia zaidi ambako rushwa imezidi.

Naanza na Ardhi..mmmh, tutaje maeneo mengine.
 
IMG_20170619_162453_301.JPG
 
Maeneo mengi hadi ngazi za chini..Mahakama ya mafisadi ifanye kazi yake ipasavyo
 
Hivi mahakama ya mafisadi Iko kisutu au
maana hao nao nasikia wamepelekwa kisutu
kabla ya kupelekwa kwenye mahakama ya mafisadi.
 
Mmmmm...., eeeh....mmmm, nasita jamaa wataniweka selo!
 
Back
Top Bottom