Naiona Nchi ikipasuka vipande vipande

Naiona Nchi ikipasuka vipande vipande

Haihitaji akili nyingi sana kujua hili, ni wazi na ni dhahiri kabisa kuwa hali ya Nchi ni mbaya sana kwa sasa, kitendo cha Wabunge wote wa CCM na wa vyama vyote vya upinzani kuunga hoja Mkono kwa asilimia 100 ya kwamba Mh Makonda Aitwe na kwenda kujitetea Ktk kamati ya maadili bungeni wakati huo huo Akiwa anaungwa Mkono na kusifiwa sana na Raisi ni Dhahiri kuwa wabunge wote hawamuungi Mkono Raisi.

Kwa mitaani hali ni mbaya Zaidi, kila mtu anamzungumzia Makonda kwa Ubaya, siyo Maprofesa siyo Madoctor siyo Machinga, Wasanii ndiyo Kabisa usiseme. Hasa ukizingatia ile Amri yake ya kuzuia Shughuli zote za Burundani kuanzia Saa sita usiku. Amri ambayo imewafanya Wasanii wengi kukosa kazi ya kufanya kwa sababu Hakuna ukumbi unaokubali kuwaalika Wasanii kutumbuiza kwa masaa mawili tu hatafu walipwe, kwa hiyo wengi Kama siyo wote hawana kazi ya kufanya na hali zao ni mbaya sana kifedha.

Wahudumu wa Bar, Kama Watanzania masikini nao pia wana kilio kikali na Wanaongea kila lililo baya kwa Mkuu huyu wa Mkoa, sababu, bar zote zimepunguza wahudumu kwa zaidi ya 80% hii ni kwa sababu wale waliokuwa wakiingia Shift za asubuhi, wote wamepoteza kazi outomatic, na wale wa shift ya usiku wamepunguzwa kwa 50%. Jaribu kuona ni familia ngapi zimeathirika,

Wamiliki wa Mabaa na Maclabu, kila mtu analaani kwa Lugha yake, sababu, masaa ya kufanya kazi ni machache sana, hivyo kufanya Mapato Yao kushuka kwa Zaidi ya 60% bajaji boda boda, na Tax ndiyo balaa, wao walikuwa wakipata abiria kuanzia Asubuhi mpaka usiku saa kumi, sasa hivi wanalazimika kufunga shughuli zao saa sita usiku na kuzifungua saa kumi jioni, Muda mwingi wanautumia kucheza Drafti na kupiga soga zisizo na faida yoyote. Mapato Yao yameshuka kwa zaidi ya 65%

Kutokana na pia Hali za watu za uchumi kuwa mbaya sana, watu wamekuwa na Hasira na Chuki Sana, kuna mpasuko mkubwa sana wa kiuongozi, Wenyeviti wa Serikali za mitaa kila Mmoja analaani kwa Lugha yake.

Je, tutaachana Vipi na hii hali halisi iliyopo ambapo kila Mtu amepoteza Matumaini, Wakati wa Kampeni Wagombea waliahidi kuwa awamu hii itakiwa ni TANZANIA YA VIWANDA. Juzi Waziri wa viwanda amewachana wananchi wazi kuwa, Serikali haina uwezo wa kujenga viwanda ila itaandaa mazingira ya wanachi kujijengea Viwanda. Japo hakufafanua, ila kwa wenye akili timamu tumejua imetoka hiyo!

Wanasiasa wanakamatwa na kufungwa hovyo, yaani ni Chuki kila mahali. Watu wamekosa Furaha kabisa ktk Nchi Yao, ni hofu na mashaka tele., Tujipange Upya, tuone tunapokosea tuparekebishe haraka, vinginevyo siyo Muda mrefu tunaweza kujikuta tukigawana madirisha na mabati wakati nyumba ni Mali yetu wenyewe
Inaonyesha upeo wako wa kufikiri na kuchambua mambo kwa weledi ni mdogo sana!vita ni vita!kila vita inambinu zake!nchi haiwezi kupasuliwa kirahisi hivyo kama ambavyo unataka kutuaminisha!tulia dawa iingie taratibu....tunarejeshwa kwenye mstari
 
B

Bro, wenzako hatujawahi kuwa wapenzi wa vyama tangu kuzaliwa kwetu, ila Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, ukiona wabunge wote wa CCM na wa Vyama vya upinzani wameungana Bungeni na kuunga hoja kwa 100% kaa chonjo, je, Kule bungeni wabunge wote ni CHADEMA?!
Ukiona wameungana ujue jambo hilo lina maslahi mapana kwao kama vile posho.muda utaongea
 
Inaonyesha upeo wako wa kufikiri na kuchambua mambo kwa weledi ni mdogo sana!vita ni vita!kila vita inambinu zake!nchi haiwezi kupasuliwa kirahisi hivyo kama ambavyo unataka kutuaminisha!tulia dawa iingie taratibu....tunarejeshwa kwenye mstari
kuna watu kama ninyi yafaa tuwafananishe na mang'ombe. akili zenu bado ziko porini,ndio maana huwa mnakaza kwanza ng'ombe mkibalehe hata kabla hamjawakaza dada zenu hao malaya. mnajiona mko juu kwasababu tu ya.........suribini 2020 mtaisoma namba.
 
Nchi inapasuka kwa kuwa baa inafungwa saa sita! nchi inapasuka kwa kuwa mwanasiasa anakamatwa kwa uvunjifu wa amani!! hyo research yako nadhan ulifanyia chumbani!
 
Inaonyesha upeo wako wa kufikiri na kuchambua mambo kwa weledi ni mdogo sana!vita ni vita!kila vita inambinu zake!nchi haiwezi kupasuliwa kirahisi hivyo kama ambavyo unataka kutuaminisha!tulia dawa iingie taratibu....tunarejeshwa kwenye mstari[/QUOT
Sasa umeandika utumbo Gani,Watanzania Wanahitaji Ajira Za viwandani na siyo Bla bla, Sasa madawa ya kulevya hata Wangekamatwa wote, Watanzania wenye Njaa na kiu ya Ajira watanufaika nini, Acheni porojo, Ahadi ni deni, msihame hame, Tapeli mzoefu ww.
 
kuna watu kama ninyi yafaa tuwafananishe na mang'ombe. akili zenu bado ziko porini,ndio maana huwa mnakaza kwanza ng'ombe mkibalehe hata kabla hamjawakaza dada zenu hao malaya. mnajiona mko juu kwasababu tu ya.........suribini 2020 mtaisoma namba.
Usikute unamtukana baba yako mzazi!nilianzia kwenye ngombe kwanza kabla ya kumgeukia aliyekuzaa nadhan ndo hasara ya kuwa na mtoto mwenye upeo mdogo kama wewe
 
Inaonyesha upeo wako wa kufikiri na kuchambua mambo kwa weledi ni mdogo sana!vita ni vita!kila vita inambinu zake!nchi haiwezi kupasuliwa kirahisi hivyo kama ambavyo unataka kutuaminisha!tulia dawa iingie taratibu....tunarejeshwa kwenye mstari
Sasa ndiyo umeandika Utumbo gani, Hivi hata Wakikamatwa wauza Madawa wote,kutakuwa na manufaa gani Raia wenye kiu ya kufanya Kazi katika Viwanda mlivyowaahidi?.Rudini Ktk mstari, Timizeni Mliyowaahidi Achaeni kuhama hama, Tapeli Mzoefu ww.
 
Haihitaji akili nyingi sana kujua hili, ni wazi na ni dhahiri kabisa kuwa hali ya Nchi ni mbaya sana kwa sasa, kitendo cha Wabunge wote wa CCM na wa vyama vyote vya upinzani kuunga hoja Mkono kwa asilimia 100 ya kwamba Mh Makonda Aitwe na kwenda kujitetea Ktk kamati ya maadili bungeni wakati huo huo Akiwa anaungwa Mkono na kusifiwa sana na Raisi ni Dhahiri kuwa wabunge wote hawamuungi Mkono Raisi.

Kwa mitaani hali ni mbaya Zaidi, kila mtu anamzungumzia Makonda kwa Ubaya, siyo Maprofesa siyo Madoctor siyo Machinga, Wasanii ndiyo Kabisa usiseme. Hasa ukizingatia ile Amri yake ya kuzuia Shughuli zote za Burundani kuanzia Saa sita usiku. Amri ambayo imewafanya Wasanii wengi kukosa kazi ya kufanya kwa sababu Hakuna ukumbi unaokubali kuwaalika Wasanii kutumbuiza kwa masaa mawili tu hatafu walipwe, kwa hiyo wengi Kama siyo wote hawana kazi ya kufanya na hali zao ni mbaya sana kifedha.

Wahudumu wa Bar, Kama Watanzania masikini nao pia wana kilio kikali na Wanaongea kila lililo baya kwa Mkuu huyu wa Mkoa, sababu, bar zote zimepunguza wahudumu kwa zaidi ya 80% hii ni kwa sababu wale waliokuwa wakiingia Shift za asubuhi, wote wamepoteza kazi outomatic, na wale wa shift ya usiku wamepunguzwa kwa 50%. Jaribu kuona ni familia ngapi zimeathirika,

Wamiliki wa Mabaa na Maclabu, kila mtu analaani kwa Lugha yake, sababu, masaa ya kufanya kazi ni machache sana, hivyo kufanya Mapato Yao kushuka kwa Zaidi ya 60% bajaji boda boda, na Tax ndiyo balaa, wao walikuwa wakipata abiria kuanzia Asubuhi mpaka usiku saa kumi, sasa hivi wanalazimika kufunga shughuli zao saa sita usiku na kuzifungua saa kumi jioni, Muda mwingi wanautumia kucheza Drafti na kupiga soga zisizo na faida yoyote. Mapato Yao yameshuka kwa zaidi ya 65%

Kutokana na pia Hali za watu za uchumi kuwa mbaya sana, watu wamekuwa na Hasira na Chuki Sana, kuna mpasuko mkubwa sana wa kiuongozi, Wenyeviti wa Serikali za mitaa kila Mmoja analaani kwa Lugha yake.

Je, tutaachana Vipi na hii hali halisi iliyopo ambapo kila Mtu amepoteza Matumaini, Wakati wa Kampeni Wagombea waliahidi kuwa awamu hii itakiwa ni TANZANIA YA VIWANDA. Juzi Waziri wa viwanda amewachana wananchi wazi kuwa, Serikali haina uwezo wa kujenga viwanda ila itaandaa mazingira ya wanachi kujijengea Viwanda. Japo hakufafanua, ila kwa wenye akili timamu tumejua imetoka hiyo!

Wanasiasa wanakamatwa na kufungwa hovyo, yaani ni Chuki kila mahali. Watu wamekosa Furaha kabisa ktk Nchi Yao, ni hofu na mashaka tele., Tujipange Upya, tuone tunapokosea tuparekebishe haraka, vinginevyo siyo Muda mrefu tunaweza kujikuta tukigawana madirisha na mabati wakati nyumba ni Mali yetu wenyewe
Sina hakika na idadi ya wananchi uliowahoji na kuja na hii tathmini yako, ukiwa huna takwimu usitake kutuaminisha watu wengine jambo unaloliamini wewe ukisukumwa na mhemko na mahaba kwa chama chako. Suala la wabunge kuunga mkono hoja ya Makonda kuhojiwa na kamati naiona imelenga zaidi kujaribu kujificha na hayo wanayoyafanya suala hili linawahusu wote chama tawala na upinzani.
 
Nchi inapasuka kwa kuwa baa inafungwa saa sita! nchi inapasuka kwa kuwa mwanasiasa anakamatwa kwa uvunjifu wa amani!! hyo research yako nadhan ulifanyia chumbani!
Yaani yote niliyoandika umeona neno bar tu!Nakukumbusha tu, Nchi haiendeshwi Kwa Mihemko, na Viburi. Kwani hujui kwamba nchi nyingi zimejikuta ktk Vita baada ya haki Kupuuzwa?. Je ww uchambuzi wako unasemaje!
 
Usikute unamtukana baba yako mzazi!nilianzia kwenye ngombe kwanza kabla ya kumgeukia aliyekuzaa nadhan ndo hasara ya kuwa na mtoto mwenye upeo mdogo kama wewe
ndo maana wanawaita mang'ombe. mnafanana sana. acheni ushamba.
 
Watasema mchana usiku watalala, wacha wacha waseme!
 
Sina hakika na idadi ya wananchi uliowahoji na kuja na hii tathmini yako, ukiwa huna takwimu usitake kutuaminisha watu wengine jambo unaloliamini wewe ukisukumwa na mhemko na mahaba kwa chama chako. Suala la wabunge kuunga mkono hoja ya Makonda kuhojiwa na kamati naiona imelenga zaidi kujaribu kujificha na hayo wanayoyafanya suala hili linawahusu wote chama tawala na upinzani.
Bro, Hakuna sheria ktk hii Nchi inayomlazimisha mtu kuwa mfuasi wa Vyama, ila Msema kweli ni mpenzi Mungu, hii Nchi ni Mali yetu Sote, sasa Ukijiona ww ni Zaidi yetu lazima tukushushe, huwezi kudharau unaowaongoza halafu ukatarajia kubaki salama!
 
Yaani yote niliyoandika umeona neno bar tu!Nakukumbusha tu, Nchi haiendeshwi Kwa Mihemko, na Viburi. Kwani hujui kwamba nchi nyingi zimejikuta ktk Vita baada ya haki Kupuuzwa?. Je ww uchambuzi wako unasemaje!

I said once here, si vita vyote ambavyo unatakiwa upambane, mengine hayakuhusu kabisa! usiishi kwa mazoea soma kwanza sheria za nchi ukimaliza ndipo uje kuanzisha thread za namna hii humu! kuna vitu vingine vidgo tu labda umezoea kufanya kwa mazoea lakin havipaswi kufanyika!

Mtu anaitwa kituoni haendi na anasema kabisa haendi afu we unasema nchi haina haki!! unafaham kwamba biashara za mabaa sana zinabebwa na sheria ya mazingira!! unajua madhara mtu anapokushtaki umempigia kelele ameshindwa kulala!!

Anyway professor analalamika kwa lipi ,,,, amekosa wanafunzi wa kuwafundisha?
Ni sababu ipi inayowaliza madaktari ....... watu hawaugui siku hz?
Machinga? njoo uwaone wanavyojiachia kariakoo na maeneo mengine au nenda mwanza makoroboi kaone machinga wanavyopiga pesa

Ndo mana nikakwambia research yako umeifanyia chumbani! otherwise labda we ndo uliandika kwa mihemko!
 
Mkuu, suala la Machinga kujimwaga K,koo mabarabarani na Kule Mwanza ni suala la kisiasa tu, time will tell. Watu wanataka kuona japo Foundation ya kiwanda kimoja Kati ya vilivyoahidiwa, Siku zinaenda, suala la Madawa na watuhumiwa sioni Faida zake moja kwa moja kwa wananchi. Naona Kama mnawatoa wananchi ktk Mstari, yaani mnahamisha magoli.
 
Usikute unamtukana baba yako mzazi!nilianzia kwenye ngombe kwanza kabla ya kumgeukia aliyekuzaa nadhan ndo hasara ya kuwa na mtoto mwenye upeo mdogo kama wewe
Duuuuuuuh mkuu kumbe ulishawahi kukaza ng'ombe?? Lahaulaa
 
Hahahaa, Mkuu kuna watu wamepinda, ila hoja hujibiwa kwa hoja. Huo ndiwo uanaume. Matusi hayasaidii.
 
Nchi ipasuliwe vipande na wauza unga????
Nasubiri nione hivyo vipande.
 
Back
Top Bottom