Naiona maana halisi ya 'Upinzani' sasa

Naiona maana halisi ya 'Upinzani' sasa

Nakubaliana na wachangiaji kuhusu mapungufu mengi na ya hovyo ya CCM,shida yangu ni pale kundi kubwa lisipoona kasoro za wapinzani. Matusi kwa ZZK na Mapokezi ya Lowasa kuwa mgombea wa CDM sitofautishi na kitendo cha CCM kumpa uenyekiti wa bunge Chenge. Tuzionyesha kasoro za pande zote kwa manufaa ya JMT.
 
Back
Top Bottom