Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,062
- 285,673
wapinzani wako wengi sana bungeni , maana mpinzani mmoja ana thamani ya wabunge 100 wa ccm .
Upinzani fanyeni haraka kuunda chama kimoja cha upinzani naahidi kuwa nitakuwa mmoja wa wanachama waanzilishi! Bila kuwa na chama kimoja magamba watatawala milele!Upinzani sasa ni muda wa kuunda chama kubwaa, chama kimojaa bila kujali maslai yao
Tehteh UKAWA imeishakufa tena...Upinzani sasa ni muda wa kuunda chama kubwaa, chama kimojaa bila kujali maslai yao
Tangu umehama chama kumfuata mahabuba wako luwasa wana ccm wote wamekua wabaya kwako...tehtehMiwabunge ya CCM karibu yote ni hopeless kabisa!
Ukawa sio chama mkuu!!!Tehteh UKAWA imeishakufa tena...
vp ushaajiriwaa??Tehteh UKAWA imeishakufa tena...
ndio tayari nipe d.ada yako...vp ushaajiriwaa??
Umelogwa wewe serikali ipi?Jamaa ameandika kwa haraka kuwahi awe wa kwanza kutoa hoja. Hapa unachokizungumza ni Zitto kuungana na wenzake, mbona hakuna tatizo katika hilo.
Hoja nyingi za Serikali zenye makosa hutolewa ushauri wa marekebisho na hufanyika. Tuliza kichwa kijana.
Ufafanuzi ni kuwa Ukawa ndio walioungana na Zitto! Kumbuka hoja ile ni ya Zitto na ndiye mtoa hoja. Nataka tuu kuweka historia sawa kuwa hoja ile ni Zitto na yeye ndiye mtoa hoja hivyo yeye ndiye alieungwa mkono "kuungwa mkono".Wanabodi habari za muda huu. Ni muda mrefu tumekuwa tukiona wapinzani wakibezwa na kupuuzwa pale wanapoamua kusimama kidete kupigania maslahi ya nchi. Ilifika hatua hata baadhi ya wanasiasa kuonekana ni maadui kisa tu kuisimamia na kuipinga serikali inapokosea.
Maana ya upinzani sasa hatimaye imeanza kuonekana. Hii inakuja baada ya kuona wabunge wa upinzani kutoka vyama tofauti vya ACT na wale wa umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wakiungana kwa ajili ya maslahi ya taifa.
Ni juzi tu tumeona Zitto Kabwe akiungana na UKAWA kupinga suala la TBC kutorusha matangazo ya bunge moja kwa moja (live). Na leo hii pia tumeshuhudia Zitto Kabwe na Tundu Lissu wakiungana kupinga juu ya bunge kujadili mpango wa maendeleo wa 2016/2017 hadi 2020/2021 ambao haujakidhi matakwa ya kanuni za bunge.
Hili ndio tunalotaka watanzania. Tunahitaji kuungana kwa ajili ya Tanzania na sio vyama vyetu. Kupitia hili wabunge wa CCM wana la kujifunza (kuwa sio kinacholetwa na serikali ya CCM ni sahihi na hakina kasoro).
Heko wabunge wa upinzani na huo ndio UPINZANI WA KWELI.
MAgnesium
Kuwa mfuasi wa Chadema yataka uwe katika "coma". Usimame mwembeyanga utaje Lowasa fisadi na ushahidi upo,uje usimame tena useme siyo fisadi na ni jembe,mtu mwema na ni chaguo la Mungu.Kuwa mfuasi wa CCM yataka uwe chizi kwanza
Jamaa ameandika kwa haraka kuwahi awe wa kwanza kutoa hoja. Hapa unachokizungumza ni Zitto kuungana na wenzake, mbona hakuna tatizo katika hilo.
Hoja nyingi za Serikali zenye makosa hutolewa ushauri wa marekebisho na hufanyika. Tuliza kichwa kijana.
Kuwa mfuasi wa CCM yataka uwe chizi kwanza
Ndio mkuu...na huo ndio ukomavu wa kisiasaUfafanuzi ni kuwa Ukawa ndio walioungana na Zitto! Kumbuka hoja ile ni ya Zitto na ndiye mtoa hoja. Nataka tuu kuweka historia sawa kuwa hoja ile ni Zitto na yeye ndiye mtoa hoja hivyo yeye ndiye alieungwa mkono "kuungwa mkono".
Walikuwa wachache sana na mara chache pia... Kwa kuwataja kwa uchache tu;Ni nadra sana kuona mbunge wa ccm akiikosoa serikali