Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,285
Ilikuwa jumapili siku kama ya Leo hali ya hewa ni njema sana watoto walionekana kwa mbali wakicheza michezo ya hapa na pale niliwaangalia Kwa mda kisha nikaingia kulala ili kutuliza akili yangu mvua ikaanza kalii sana watoto wakaingia ndani mvua ilinyesha kali sana ya ajabu yenye upepo mkali sana
Sikumbuki kilichotokea apo ila hapa nilipo ndio utata unapokuja nilizinduka nikiwa juu ya ubao ambao ulikuwa ukielea juu ya maji nikiangalia vizur majini naona maiti zikielea majini nashindwa kabisa kukumbuka nini kilitokea ila kumbu kumbu yangu ya mwisho nililala ndani na mvua Ilikuwa ikinyesha sana sasa apa nimefikaje? Ni swali nililolikosea jibu la papo Kwa hapo roho iliniuma sana maana hakuna kitu kingine nnacho kumbuka zaidi ya kwamba nililala na mvua Ilikuwa ikinyesha sana nikiwa nimeinama nakufikir nini hasa tatizo niliona matone ya damu yakiniangukia mkononi nainua kichwa juu nione ni nini kilikuwa kikivuja damu lahahura! Zilikuwa damu zangu mwenyewe zikivuja kichwani kwangu baada ya kuligundua ilo nilihisi maumivu mkali sana kichwani mwangu nililia kwa uchungu sana yalikuwa maumivu yasiyo kifani.
Kwasababu nilikuwa naelea juu ya maji na hakuna msaada naweza pata kwa mda huo maiti Zilikuwa zinaelea juu ya maji nikaamua nichane shati langu nakujifunga kichwani kuzuia damu kumwagika nilipo maliza nikatulia kidogo kwa maumivu niliyo yasikia inaonesha niligongwa kichwani na kitu chenye ncha kali sana ambacho kilipilekea nipoteze kumbu kumbu cha ajabu atajina langu Sikumbuki wazazi wala ndugu siwakumbuki kwa jinsi nilivyokuwa nikama mtu nilie tuwa tu duniani bila kuzaliwa
To be continue
# shedede