Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,487
- 2,344
Kutokana na yanayotokea Chadema ni wazi kuwa inaelekea kuzimu. Ukisoma mandiko ya Malisa GJ na Yericko Nyerere makada wa Chadema huko facebook, utagundua kuwa kuna wanachadema wengi hawakuridhika na ujio wa Lowasa ndani ya chama japo wanajikaza kisabuni hawana mahali pa kutema hiyo nyongo.
NINI KINATOKEA SASA?
Si kwamba wanaohama (kwa rushwa kama inavyosemakana) wanapenda sana rushwa (kama inavyodaiwa), La hasha ila yawezekana ni kwasababu wamepata mahali pa kupumulia kutokana na nyongo waliyoibeba vifuani mwao kwa kipindi hiki chote. Pia yawezekana wapo wengi wanatamani kutoka ila bado wanapima upepo.
Ni wakati muafaka wa Chadema kujiuliza sasa tena bila kuona aibu "JE, LOWASA ALIKUWA ASSET AU LIABILITY?"