Naiona CHADEMA inayoelekea Kuzimu

Sawa inaelekea,
Siasa mpaka 2020 then ww unafanya.
Akifanya mwingine RISASI, KAMATA FUNGA .
 
Kutokana na yanayotokea Chadema ni wazi kuwa inaelekea kuzimu. Ukisoma mandiko ya Malisa GJ na Yericko Nyerere makada wa Chadema huko facebook, utagundua kuwa kuna wanachadema wengi hawakuridhika na ujio wa Lowasa ndani ya chama japo wanajikaza kisabuni hawana mahali pa kutema hiyo nyongo.

NINI KINATOKEA SASA?
Si kwamba wanaohama (kwa rushwa kama inavyosemakana) wanapenda sana rushwa (kama inavyodaiwa), La hasha ila yawezekana ni kwasababu wamepata mahali pa kupumulia kutokana na nyongo waliyoibeba vifuani mwao kwa kipindi hiki chote. Pia yawezekana wapo wengi wanatamani kutoka ila bado wanapima upepo.

Ni wakati muafaka wa Chadema kujiuliza sasa tena bila kuona aibu "JE, LOWASA ALIKUWA ASSET AU LIABILITY?"

Si ndicho CCM wanachokitaka?Sasa nashangaa kama ufurahii hilo
 
Huku kwetu mpaka rambirambi tumeshakula ife Mara ngapi tena?
 
Kutokana na yanayotokea Chadema ni wazi kuwa inaelekea kuzimu. Ukisoma mandiko ya Malisa GJ na Yericko Nyerere makada wa Chadema huko facebook, utagundua kuwa kuna wanachadema wengi hawakuridhika na ujio wa Lowasa ndani ya chama japo wanajikaza kisabuni hawana mahali pa kutema hiyo nyongo.

NINI KINATOKEA SASA?
Si kwamba wanaohama (kwa rushwa kama inavyosemakana) wanapenda sana rushwa (kama inavyodaiwa), La hasha ila yawezekana ni kwasababu wamepata mahali pa kupumulia kutokana na nyongo waliyoibeba vifuani mwao kwa kipindi hiki chote. Pia yawezekana wapo wengi wanatamani kutoka ila bado wanapima upepo.

Ni wakati muafaka wa Chadema kujiuliza sasa tena bila kuona aibu "JE, LOWASA ALIKUWA ASSET AU LIABILITY?"
Usikute ww ni mmoja wa watu wenye akili katika chama chenu!
 
Kama pa kupumua waende kwa Dovutwa
 
Dah wabongo kwa maono kila mtu anatabiri anavojua.ngoja tuone baada ya manunuzi nani atapata faida
 
Back
Top Bottom