Naiona CHADEMA inayoelekea Kuzimu

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,371
2,000
Kutokana na yanayotokea Chadema ni wazi kuwa inaelekea kuzimu. Ukisoma mandiko ya Malisa GJ na Yericko Nyerere makada wa Chadema huko facebook, utagundua kuwa kuna wanachadema wengi hawakuridhika na ujio wa Lowasa ndani ya chama japo wanajikaza kisabuni hawana mahali pa kutema hiyo nyongo.

NINI KINATOKEA SASA?
Si kwamba wanaohama (kwa rushwa kama inavyosemakana) wanapenda sana rushwa (kama inavyodaiwa), La hasha ila yawezekana ni kwasababu wamepata mahali pa kupumulia kutokana na nyongo waliyoibeba vifuani mwao kwa kipindi hiki chote. Pia yawezekana wapo wengi wanatamani kutoka ila bado wanapima upepo.

Ni wakati muafaka wa Chadema kujiuliza sasa tena bila kuona aibu "JE, LOWASA ALIKUWA ASSET AU LIABILITY?"
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
149,788

Wataelekea wao CHADEMA itasimama
 
Ndalama

JF-Expert Member
Nov 22, 2011
8,795

Dua la kuku
 
Bekabundime

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
1,994

Pole unapoteza muda alafu unaandika pumba, hivi kwa akili yako nani anayoitaka ccm au mafisi zaidi ya kuwanunua,eti wamekosa pa kupumulia hivi wapi pana Uhuru wa mawazo,hivi kuna sehemu hatari kama ccm ulisema kumpinga mwenyekiti unashughulikiwa alafu unaleta pumba hapa
 
900 Inapendeza zaidi

JF-Expert Member
Nov 19, 2017
3,110
2,000
Kutokana na yanayotokea Chadema ni wazi kuwa inaelekea kuzimu. Ukisoma mandiko ya Malisa GJ na Yericko Nyerere makada wa Chadema huko facebook, utagundua kuwa kuna wanachadema wengi hawakuridhika na ujio wa Lowasa ndani ya chama japo wanajikaza kisabuni hawana mahali pa kutema hiyo nyongo.

NINI KINATOKEA SASA?
Si kwamba wanaohama (kwa rushwa kama inavyosemakana) wanapenda sana rushwa (kama inavyodaiwa), La hasha ila yawezekana ni kwasababu wamepata mahali pa kupumulia kutokana na nyongo waliyoibeba vifuani mwao kwa kipindi hiki chote. Pia yawezekana wapo wengi wanatamani kutoka ila bado wanapima upepo.

Ni wakati muafaka wa Chadema kujiuliza sasa tena bila kuona aibu "JE, LOWASA ALIKUWA ASSET AU LIABILITY?"
siyo bure unamakengeza
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,022

VIP hela za manunuzi bado zipo?
 
UNKNOW DEVIL HIMSELF

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
25,412

Kwani Lowasa ndiye anayewarubuni na kuwanunua wabunge na madiwani? Je ni Lowasa anayetuma polisi kuwapiga mabomu wapinzani? Je ni Lowasa aliyewatuma wale magaidi waliotaka kumuua Lissu?
 
successor

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
3,085
2,000
Chadema haiwez kufa, bali naiona ikiimarika zaidi kinyume na matarajio ya wanaccm.

Muda utasema.
 
jumamwaki

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
239
250
jamani tunapoanza kuongeaa siasa kwa kutazama mtu mmoja moja....hapo ndipo nashindwa kuelewa Mnaposema Lowasa,lowasa,lowasa, ndiyo chanzo cha haya yanayotokea .....Mna uhakika gani kuwa asingekuwepo lowasa haya yasingetokea?Au angekuwepo lowasa katiba ingemzuia mtu kuhama chama na kwenda chama anachokipenda kwa muda huo.....Kama ndio wimbo wa lowasa ,lowasa,lowasa, vip tukisema chama hicho nacho kina madudu tumshukuru mungu kupata Magufuri ambaye anakibeba chama bila yeye tungekuwa tumemaliza kufanya Matanga:D:D;););) hapa ndipo watu wanakuja juu na kubisha eti hooo sera za chama ndizo zinafanya hali iwe nzuli dhubutu .kwani hizo hazikuwepo miaka yote ..ahhh watu wananikera mimi.....o_Oo_Oo_Oo_Omtanikuta kwenye korasi hayaa twende woote tuimbe CCM ni ile ile ohoo ni ile ile
 
poa tu

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
1,174
2,000
Mnaongozwa na wasio na akili na wasioweza kufikiri zaidi ya mihemuko yao. Watanunuliwa watu wasiofika hata 1000 (ambao ni wachumia tumbo tu, wangeweza kwenda popote kwenye utamu) na kujipa kichwa kwa takwimu hovyo za TWAWEZA. Pesa za kuwanunua wale milioni 6+ walioutaka upinzani 2015 na wengineo wanaoendelea kutimiza sifa za kupiga kura kila uchao watakuwa nazo?
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
50,703
2,000
Kutokana na yanayotokea Chadema ni wazi kuwa inaelekea kuzimu. Ukisoma mandiko ya Malisa GJ na Yericko Nyerere makada wa Chadema huko facebook, utagundua kuwa kuna wanachadema wengi hawakuridhika na ujio wa Lowasa ndani ya chama japo wanajikaza kisabuni hawana mahali pa kutema hiyo nyongo.

NINI KINATOKEA SASA?
Si kwamba wanaohama (kwa rushwa kama inavyosemakana) wanapenda sana rushwa (kama inavyodaiwa), La hasha ila yawezekana ni kwasababu wamepata mahali pa kupumulia kutokana na nyongo waliyoibeba vifuani mwao kwa kipindi hiki chote. Pia yawezekana wapo wengi wanatamani kutoka ila bado wanapima upepo.

Ni wakati muafaka wa Chadema kujiuliza sasa tena bila kuona aibu "JE, LOWASA ALIKUWA ASSET AU LIABILITY?"
Ukisinzia na kuota kwenye daladala utajikuta unajamba.

Acha kuota ndoto za mchana.
 
Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
14,832
2,000
Mnaongozwa na wasio na akili na wasioweza kufikiri zaidi ya mihemuko yao. Watanunuliwa watu wasiofika hata 1000 (ambao ni wachumia tumbo tu, wangeweza kwenda popote kwenye utamu) na kujipa kichwa kwa takwimu hovyo za TWAWEZA. Pesa za kuwanunua wale milioni 6+ walioutaka upinzani 2015 na wengineo wanaoendelea kutimiza sifa za kupiga kura kila uchao watakuwa nazo?

mkuu unajiuliza au unamuuliza mtu??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom