Naiona CCM imerudi kwa wenyewe chama, yale malaplap yaliohamia yakihisi yataendelea na vyeo ni kilio

Naiona CCM imerudi kwa wenyewe chama, yale malaplap yaliohamia yakihisi yataendelea na vyeo ni kilio

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,865
Hahaaa wajumberee sio watu wazuriii kabisaaa

Nimechekaaaa sanasanaaa

Hahahaaa KAZI iendeleee

Wale mabwana waliohama vyama vyao wakakimbilia ccm wakahisi na dis tym watapata vyeoooo

Naonaaaa
Ki

Chi

Njioooooooooo

Kimewakataaa bilaaa hurumaaa

POLENI sanaaa tuungane kuinarishaaa chama msihamie Tena kwinginee
 
Back
Top Bottom