Naingia kwenye maombi ya kumzuia Putin asiiangamize Dunia, maana amekasirika Sana!

Mashabiki wa NATO mnapenda sana ushabiki wa kitoto.
Kwani mwaka 2001, USA alivyopata taarifa za Osama kufanya tukio la ugaidi ndani ya ardhi yake, USA alifanya nini!?

Lile shambulizi lilifanywa na marekani yenyewe ili kupata kigezo cha kwenda kumpiga osama
 
Niwaombeni wanamaombi tuingie kambini kuiombea Dunia dhidi ya hasira za Rais Vladimir Putin wa Russia

Putin amejiapiza kuwashughulikia wote waliohusika Kwenye shambulio la Moscow kuanzia waliowatuma hadi waliotekeleza

Hali ni ya hatari Sana 🐼

Tanzania ni kisiwa cha amani tuingie Kwenye maombi
Mkuu kwanini tusome historia za hiroshima ni vyema nasi tuje tuhadithie tulikuwepo na kushuhudia hasira na nguvu za kijeshi za putin na taifa kubwa la russia america na vibaraka wake wapigweeee!
 
Hakuna kitu kinachekesha kwasasa Kama kuona jinsi wa afrika wanavyo muabudu Putin na urusi yake Kama Mungu
Wengine wameenda mbali kwasasa wanamuita Putin baba mtakatifu waafrika kwa visa hatujambo
Wakisikia kelele za Putin tu wanafikiri nilidude likubwa saana na marekani Ni Kavatican . Kanaweza kupigwa Kama hamas kule gaza
 
Naomba unitoe huko mkuu
 
Kwa hiyo wewe unazani ukiitaja Marekani basi unaona Russia ni taifa la kawaida tu mbele ya Marekani?
Wewe sifia tu wanaupinde wenzako.
 
Hakuna kitu kinachekesha kwasasa Kama kuona jinsi wa afrika wanavyo muabudu Putin na urusi yake Kama Mungu
Wengine wameenda mbali kwasasa wanamuita Putin baba mtakatifu waafrika kwa visa hatujambo
Wakisikia kelele za Putin tu wanafikiri nilidude likubwa saana na marekani Ni Kavatican . Kanaweza kupigwa Kama hamas kule gaza
Hayo mambo ya kijinga ya ukoo wenu usitujumuishe wote.
 
Niwaombeni wanamaombi tuingie kambini kuiombea Dunia dhidi ya hasira za Rais Vladimir Putin wa Russia

Putin amejiapiza kuwashughulikia wote waliohusika Kwenye shambulio la Moscow kuanzia waliowatuma hadi waliotekeleza

Hali ni ya hatari Sana 🐼

Tanzania ni kisiwa cha amani tuingie Kwenye maombi
Acha awapige! Nakazia na awapige vizuri!
 
Ukiwa ndio mara yako ya kwanza kuingia JF ukasoma habari za Putin au Iran unaweza jua ni watu wa maana na wenye nguvu kumbe vilaza tu. Ka Ukrine ambacho ni sawa na mkoa wa Morogoro kakashindwa mwaka wa 3 sasa. Hampshire yoyote hata sisi Watanzania hatumuogopi.
Tanzania na Ukraine wamepisha a kidogo.
 
Niwaombeni wanamaombi tuingie kambini kuiombea Dunia dhidi ya hasira za Rais Vladimir Putin wa Russia

Putin amejiapiza kuwashughulikia wote waliohusika Kwenye shambulio la Moscow kuanzia waliowatuma hadi waliotekeleza

Hali ni ya hatari Sana

Tanzania ni kisiwa cha amani tuingie Kwenye maombi
Tanzania hakuna amani acha uongo,kuna amani kwenye umaskini?
Halafu Putin ni fala tu,hana la kufanya,na ataendelea kupigwa tu
 
Ukiondoa nukes na watu ambao wako tayari kuuliwa kwa ajili ya Poo tin, hakuna kingine anaweza.
Zelensky kajamaa kafupi kamemuweza
Nonsense yaani mtu kuchukua eneo 20%unasema wamemuweza?alafu wanaooperate hizo silaha ni NATO wenyewe.yaani NATO nzima haijaweza kumzuia putin kuchukua maeneo.nashauri usioneshe kiwango chako cha kufikiria hadharani kama ni kidogo.
 
Back
Top Bottom