Naingia ktk maisha ya ndoa

Heri iwe nanyi.....nimeamua kufany maamuz my magumu Kama kijana...Leo 15/9. Nafunga ndoa maeneo ya ukonga Mombasa...karibun ... naambatanisha Na sendoff picha iliyofanyik alhamisView attachment 866571View attachment 866572
Hongera sana kijana, naamini umechagua mtu sahihi kwa ajili ya maisha yako, Ila ufahamu tu sisi waafrika ni watu wa maisha ya extended family. Hivyo huyo mkeo asije awakawaona ndugu zako ni kero, na yale maisha ya kula baga mnatoka nje kuvinjari anaweza akayakosa pia avumilie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…