Pascal Mayalla,
Unataka wafanye unavyowaza wew ndo utajua wanataka nini? Self centred! I due respect your opinions

Ndugu yangu sijawahi kuipenda Chadema wala Ccm mi nachagua viongozi vyama vyao baadae ...Toka lini akaipenda chadema? Acha aweweseke tu,mambo ya chadema yanaamuliwa na wanachadema wenyewe.
Hilo jahazi huyo Tundu Lissu ataongoza akiwa marekani au ubelgiji?Pascal Mayalla ni kweli chadema inahitaji fresh blood ila sio Mwambe,Chadema inahitaji fresh blood kama Tundu Lisu ila walichokifanya sio kibaya ni maandalizi ya Tundu lisu kuongoza jahazi
Pascal Mayalla said:
sio muda wote wa kukupuuza, unayoyasema kuna muda ni kweli ingawa uwasilishaji wako huwa na ukakasi.Tatizo ni kwamba CHADEMA CHADEMA wana siasa za ubabe mno
Nafikiri wakivaa yale magwanda wanajiona wote ni Makomando John
mkuu Pascal Mayalla, mimi siyo Chadema but for once can't you be objective japo kidogo tu hapo kwenye graph ya Chadema kushuka kwa kasi kutokana na Chadema's self infliction?Wanabodi,
Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa Siku Zote Huwa Nailaumu Chadema Kuwa Hawajitambui na Hawajui Wanataka Nini!. Sasa Kesho Chadema Wanafanya Uchaguzi wa Mwenyekiti, Swali ni Jee Sasa Chadema Wanajitambua?, Jee Wanajua Wanataka Nini?...
Katika Uchaguzi wa Kesho wa Mwenyekiti wa Chadema, Kama Chadema Wanajitambua, Watachagua Kuishi, Lakini Kama Bado Hawajitambui Kama Kawaida Yao, Watachagua Kifo!.
Swali ni Jee Chadema Kuchagua Kifo au Kuishi?. Tusubiri Hiyo Kesho Tuone...
Naanza Bandiko Hili na Declaration, Kisha Naleta Justification
Naomba kuanza kwa declaration of interest, mimi Paskali wa Jeiefu, sio mshabiki, mfuasi, au mwanachama wa chama chochote cha siasa, lengo la declaration hii ni kwa ajili ya manazi wa Chadema waliotamalaki humu JF, ambao ukichangia jambo lolote ambalo hawalipendi, watakushukia kwa kukubeza, kwa vile wewe sio Chadema, mambo ya Chadema, yanakuhusu nini?!, hivyo maneno kama "pilipili usioila inakuwashia nini?" hayawezi kukosekana. Naamini kuna Watanzania wengi kama mimi ambao sio wanachama wa chama chochote cha siasa, na kuna wanachama wa vyama vya siasa ambao wako very objective kwa maslahi ya taifa wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona, nchi yetu inapata credible opposition, kwa huku Bara, Chadema ndicho chama pekee kilichoonyesha angalau kinaweza, ila baada ya kutokea huyu game changer aliyabadili the political game, Chadema imeporomoka na baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kama Chadema hawatafanya the right thing now, they are going to be reduced to nothing. Chadema ikifa, sio hasara kwa Chadema na wanachama wa Chadema tuu, ni hasara kwa Taifa na Watanzania kwa ujumla kwa nchi kurejea chini ya mfumo wa chama kimoja which is not good at all kwa majaaliwa ya mustakabali wa taifa letu.
Justification
Kuna justification kubwa moja kwa mtu ambaye sio Chadema kujadili mambo ya Chadema. Chadema kwa vile ni chama cha siasa na kina wanachama, kuna watu wanadhani Chadema ni private party, interms of usajili na kujiunga hivyo ni mali ya wanachama na viongozi wao pekee, no!, Chadema is a public party, nichama cha umma wa Watanzania, na kinaendeshwa kwa kugharimiwa na tax payers money, hivyo ni public party, kwenye kitu kinachoitwa "private property no right to trespass", hii maana yaye ni mali ya mtu binafsi ina kinga ya kisheria ya kutoingiliwa, na hata katika mienendo na maisha binafsi ya watu wakiwemo viongozi, kuna kinga ya kifaragha, "the right to privacy" ambayo haipaswi kuingiliwa, lakini mtu yoyote, au taasisi yoyote inayolipwa with tax payers money, inapoteza hizo kinga zote mbili za private propery na the right to privacy, the tax payers have all the rights to know the public as well as the private conduct of such entity maana nikodi zao!. Kwa vile Chadema kinaendeshwa kwa ruzuku, hiyo ruzuku ni fedha yako, fedha yangu na fedha yetu as public, hivyo we have all the rights, kujua kila kitu kuhusu Chadema na kutoa maoni yoyote kuhusu Chadema, na ndio maana hesabu za Chadema, zinakaguliwa na CAG.
Hoja za Bandiko hili
Japo Chadema wenyewe hawajikubali na kuukubali ukweli kuwa Chadema hapa kilipofika kama chama kikuu cha upinzani kiko stagnant na graph yake imeanza kushuka kwa kasi ambapo viongozi na wanachama wake wanaojitambua, they are doing the right thing, wengine wanasubiri tuu Bunge livunjwe nao waamue, hivyo wana Chadema kindakindaki wenye misimamo thabiti, walioamua kuifia Chadema, itawabidi wajitambue "Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui, Sijui Sasa Kama Wanajitambua, Hebu na Tusubiri Tuone!".
Hitimisho
Namalizia Kwa Lile Lile Swali la Msingi, Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui!...Then Watamchagua Tena Mhe. Mbowe. Swali Jee Chadema Sasa Wanajitambua na Kujua Wanataka Nini?Au Bado Hawajimbui?,
Tusubiri Tuone!.
Nawatakia Wana Chadema, Uchaguzi Mwema wa Kuchagua Ama Kuendelea Kuishi Ama Kifo!.
Paskali
Upumbavu wa kutukuka kwa maslahi ya wananzengo. CHADEMA ni imani siyo mashindano na chama dola. Kalama baho.Wanabodi,

AiseeNa mimi nasema atakayempigia kura Mwambe akitoka hapo aende Mirembe.
Duuh! Mkuu umenena mambo mazurisana. Kwa maoni yangu CHADEMA bado kina mhitaji Mbowe kama mwenyekiti. Kwenye upande wa Candidate wa cheo au Position ya Urais no question lazima awe Tundu Lissu ndiyo uchaguzi utapendeza kama wa 2015.Wanabodi,