Naikumbuka Chit Chat katika UBORA WAKE

Status
Not open for further replies.
Last edited by a moderator:

Ladyfurahia kila kitu huzaliwa hukua huzeeka na hatimaye hufa! Hata hii CC ya sasa kuna watu.watakuja kuikumbuka na kuiona bora kuliko ya wakati huo
Kuna kila ENZI kwenye kila jambo na enzi haziwezi kufanana kamwe
 
yaani imekuwa ni kero tupu na mpishano wa lugha umebadilika sijui tufanyaje jukwaa letu lirudi kama zamani

sasa yale mambo yao ya chuo wanayaleta hapa mara :third: mara :A S-eek: sisi tunabaki kuwa😛eep: tu
yaani tena wale wachakachuaji wamefunga vyuo basi ndio dooooh!!
 
majukwaa yote yameharibika, wakati huo nilikuwa msomaji tu, ila nilikuwa bize na mitandao mingine kama mzibo.com
 
Wengi wa chit chat wamehamia kwenye group za whatsap,bado wanaenjoy huko ndo pakasahaulika huku
 
Kuna group lingine linaitwa mapwnzi tele vry active and so fun...kazi kwako kana unataka sema nikuad
 
mie kwa haraka haraka nilihisi kuna "watoto" wanataka waonekane wamekua ama hawa wageni hawajui chit chat ikoje.


hivi bado wana Cc wanakutana kule "tupo hapa pub"
Lucas upoooo
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…