Naikumbuka Chit Chat katika UBORA WAKE

Status
Not open for further replies.
nishaondoka siku nyingi tu
 
Dr miye nipo nipo ila si kama kitambo....kwema lakini pande zenu huko?

Kwema kabisa Dr.........karibu Bashnet..........uwe unapita pita bana mara moja moja.......
 

yaani tena wale wachakachuaji wamefunga vyuo basi ndio dooooh!!
 
..ilikua RAHA sana Preta... Cantalisia.. Rejao.. Bishanga.. Asprin.. KakaKiiza. Mr Rocky... Mwali.. Saint Ivuga.
aiseee..ilikua RAHA kwa kweli kweli

yaani mkuu ni kama umeniwahi hivi, nilikuwa ninaingia JF sasa hivi niandike thread mpya "nimeimiss JF chit chat ya.zamani"

ninakumbuka kuna kipindi CC ndio ilikuwa ina run hapa. majukwaa mengine ilikua ni kutafutiana Ban, lakini hapa ilikua ni kufurahi na kutengeneza urafiki na udugu.

ila leo nashangaa, sijui nimeizoea sana?!
 
Last edited by a moderator:
...mimi kila nikiingia naona maruwe ruwe nikaona ngoja niulize..
 
...mimi kila nikiingia naona maruwe ruwe nikaona ngoja niulize..

mie kwa haraka haraka nilihisi kuna "watoto" wanataka waonekane wamekua ama hawa wageni hawajui chit chat ikoje.


hivi bado wana Cc wanakutana kule "tupo hapa pub"
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…