Hilux pick up double cabin kwa 4M?,uko serious kweli?,hizo ni bei za passo na vitsWakubwa zangu habari za Siku na poleni na majukumu ya kila siku. Nisiwasumbue sana ndg zangu naihitaji gari ya Toyota hillux double cabin yenye 4whl namaanisha used hapa bongo. Kuna pori nataka Nile nayo msoto. VP wakuu wangu naweza pata kwa 4ml au 5ml? Ningependa sana I we damu ya mzee. Mnisamehe sana kama nitawakwaza wakubwa.
Hahahahaa! Wakuu nazungumzia gari iliyotumika kwa bei za 4ml au 5ml. Mnisamehe wakuu nina jamaa zangu wawili waliwahi kubahatika kupata kwa bei za hivo. Mwingine mwaka juzi na mwingine mwaka jana. Kuna mmoja alipata kwa 4.8ml. na mwingine kwa 5.6ml. Ieleweke nazungumzia gari iliyotumika haijalishi umeitumia muda gani kifupi uwe bado unaitumia. Mambo mengine ntajuana nayo mwenyewe. Kama unayo na unaiuza naamini kuelewana ndio mchongo wenyewe hata kama itazidi kiasi fulani.
Kama unataka za bei hiyo nenda Malawi utapata ila itabidi pesa ikutoke kuisajili upya huku.Wakubwa zangu habari za Siku na poleni na majukumu ya kila siku.
Nisiwasumbue sana ndg zangu naihitaji gari ya Toyota hillux double cabin yenye 4whl namaanisha used hapa bongo. Kuna pori nataka Nile nayo msoto.
VP wakuu wangu naweza pata kwa 4ml au 5ml? Ningependa sana I we damu ya mzee. Mnisamehe sana kama nitawakwaza wakubwa.
Labda ka toy.
Chukua za mtumba zipo ngumu na kuna ambazo zina betri na remote pia unaendesha weeee hadi raha.
Zikitembea zinawaka taa kama double hazard na kuimba vruuuum vruuuuum.
Hakuna bajaj ya bei hyo..ni 6.5m kwenda juuU can’t be serious! Hiyo hela katafute bajaji
mi tayari ninayo
Kwa speed yangu labda tushindane na Hamilton mkuu tena ile barabara ya makongo juuTupange play date tukutane tuziendeshe mwaya.