Naihitaji sana Toyota Hillux Double Cabin damu ya mzee

lukinga01

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
414
381
Wakubwa zangu habari za Siku na poleni na majukumu ya kila siku.

Nisiwasumbue sana ndg zangu naihitaji gari ya Toyota hillux double cabin yenye 4whl namaanisha used hapa bongo. Kuna pori nataka Nile nayo msoto.

VP wakuu wangu naweza pata kwa 4ml au 5ml? Ningependa sana I we damu ya mzee. Mnisamehe sana kama nitawakwaza wakubwa.
 
Wakubwa zangu habari za Siku na poleni na majukumu ya kila siku. Nisiwasumbue sana ndg zangu naihitaji gari ya Toyota hillux double cabin yenye 4whl namaanisha used hapa bongo. Kuna pori nataka Nile nayo msoto. VP wakuu wangu naweza pata kwa 4ml au 5ml? Ningependa sana I we damu ya mzee. Mnisamehe sana kama nitawakwaza wakubwa.
Hilux pick up double cabin kwa 4M?,uko serious kweli?,hizo ni bei za passo na vits
 
Hahahahaa! Wakuu nazungumzia gari iliyotumika kwa bei za 4ml au 5ml. Mnisamehe wakuu nina jamaa zangu wawili waliwahi kubahatika kupata kwa bei za hivo. Mwingine mwaka juzi na mwingine mwaka jana. Kuna mmoja alipata kwa 4.8ml. na mwingine kwa 5.6ml. Ieleweke nazungumzia gari iliyotumika haijalishi umeitumia muda gani kifupi uwe bado unaitumia. Mambo mengine ntajuana nayo mwenyewe. Kama unayo na unaiuza naamini kuelewana ndio mchongo wenyewe hata kama itazidi kiasi fulani.
 
Walipata Shavu Si Kwa Pesa Hiyo

[/QUOTE] Watu wanabahati zao mkuu. Mmoja ni mwalimu msitaafu na mwingine ni deiwaka tu kitaa.
 
dah mzee hizo gari hata used tanzania namba utaambiwa 18m nK hyo ni A tu,bdo kwenye no B ,C ,NA D hakika utakimbia
Ni kweli mkuu lakini kuna watu walijipatia kwa bei za kuokota njoja niongeze mchuzi kidogo nikawapandie dau.
 
Wakubwa zangu habari za Siku na poleni na majukumu ya kila siku.

Nisiwasumbue sana ndg zangu naihitaji gari ya Toyota hillux double cabin yenye 4whl namaanisha used hapa bongo. Kuna pori nataka Nile nayo msoto.

VP wakuu wangu naweza pata kwa 4ml au 5ml? Ningependa sana I we damu ya mzee. Mnisamehe sana kama nitawakwaza wakubwa.
Kama unataka za bei hiyo nenda Malawi utapata ila itabidi pesa ikutoke kuisajili upya huku.
 
Labda ka toy.

Chukua za mtumba zipo ngumu na kuna ambazo zina betri na remote pia unaendesha weeee hadi raha.

Zikitembea zinawaka taa kama double hazard na kuimba vruuuum vruuuuum.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom