Naibu Waziri Viwanda na Biashara S. Manyanya, atumbua mtu kwenye Mahafali

Too much hata kwenye Graduation mtu anafukuzwa kazi. Moral za watumishi wa serikali itashuka sana kwa jinsi wanavoathiriwa kufukuzwa.
Nakumbuka enzi ya Mwalimu ilikuwa kwenye taarifa ya habari saa 2 usiku unasikia fulani amestaafishwa kwa manufaa ya umma. Sasa kila kiongozi bila ushahidi wa kutosha anamfukuza mtu kazi kwa kashfa na maneno ya kejeli.
Mpaka leo hii mahakama ya Ufisadi haina kesi kwasababu hakuna ushahidi dhidi ya hao mafisadi
 
Back
Top Bottom