figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda, Mhandisi Stella Manyanya amemtumbua Mkurugenzi wa Tume ya Ushindani (FCC) huku akiwakumbusha TBS na Taasisi nyingine kujitafakari.
Naibu Waziri huyo amechukua aumuzi huo wakati wa mahafali ya Chuo cha Biashara (CBE).
Pia sina hakika kama Naibu " wa" Waziri ana mamlaka ya kutumbua papo kwa hapo!!..Mkurugenzi Mkuu wa FCC ana kaimu nafasi hiyo.
..amekaimishwa na Waziri wa Biashara baada Dr.Frederick Ringi aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu kumaliza muda wake wa utumishi.
..Mchakato wa kumtafuta Mkurugenzi Mkuu mpya bado haujakamilika.
Kila kitu kinawezekana kwenye zama hizi na watu wote hutakiwa kushangilia. Ole wako ukatae kushangilia; Tyu! Tyu! Tyu! Tyuuu!Pia sina hakika kama Naibu " wa" Waziri ana mamlaka ya kutumbua papo kwa hapo!!
Sasa kumaliza muda wake ndio katumbuliwa. Mtoa mada mbona kama kazingua ss..Mkurugenzi Mkuu wa FCC ana kaimu nafasi hiyo.
..amekaimishwa na Waziri wa Biashara baada Dr.Frederick Ringo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu kumaliza muda wake wa utumishi.
..Mchakato wa kumtafuta Mkurugenzi Mkuu mpya bado haujakamilika.
..Hebu tuletee Video Clip tuone nini kilichoendelea.
Pia sina hakika kama Naibu " wa" Waziri ana mamlaka ya kutumbua papo kwa hapo!!
Sasa kumaliza muda wake ndio katumbuliwa. Mtoa mada mbona kama kazingua ss
Siku hizi hata mjumbe wa nyumba kumi ana weza tumbua Mkurugenzi ati,huna habari?Pia sina hakika kama Naibu " wa" Waziri ana mamlaka ya kutumbua papo kwa hapo!!
Yap!He he he
awamu hii ni easy kuajiri, easy ku-fire.....
Pia sina hakika kama Naibu " wa" Waziri ana mamlaka ya kutumbua papo kwa hapo!!
Sasa huyu kimada anakurupuka kumtumbua mtu anaekaimu?? Weledi uko wapi?? Hopeless sana huyu Mama! Eti engineer....makota....yanguu!!!!
Hayo ndio matunda ya DIT ,ipo haja ya kureview miuhtasari yao . Mtu anasoma fundi mchundo miezi tisa halafu anakuwa mhandisi sawa na yule wa drmtu kasoma cheti cha Mimba miezi tisa anakuja kumfukuza kazi Phd. au Prof.