Ground Zero
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 342
- 95
Ulitembea naye eh?Anajifanya kupiga picha kwenye Bajaji ili apate kuonekana anajali masikini. Kuna siku nilimkuta Chalinze anajifanya ananunua chipsi kavu na vitumbua, lakini alipofika mbele kidogo ya Bwawani akavimwaga vyote nje ya gari.