Naibu spika wa bunge

Naibu spika wa bunge

Joined
Mar 31, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Najisikia vibaya sana ninapoona bunge la bajeti likiwa katika hoja na kuibana serikali lakini naibu spika amekuwa ndo mtu anajibu hoja na kukandia upinzani kweli.
Mungu wape nguvu wapinzani waje wajenge taifa imara lenye utawala safi.
 
Mkuu upo sahihi,lakini badilisha kichwa cha uzi,hiyo siyo tetesi ndiyo uhalisia.
 
Back
Top Bottom