Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 15,666
- 10,084
- Thread starter
- #41
Ni kweli inatakiwa Elimu ya kutosha juu ya matumizi ya barabara itolewe kwa waendesha bodaboda hapa nchini,ili kupunguza ajali na hata vifo vinavyotokea maeneo mbalimbali hapa nchiniMimi naona polisi walipoacha kukimbizana na Bodabona ajali zilipungua. Naungana na hoja kuwa wapewe elimu ya usalama barabarani lakini wasifuatwe ovyo ovyo labda kwa makosa ya wazi kabisa kwa mfano mtu anabeba mbao zenye urefu wa futi 12, maana yake wakati wote yyuko anasababisha ajali, anategemea hisani ya haao anaopishana nao au anaowapita. Makosa kama hayo huo akamatwe. Lakini kwamba hana leseni, hana bima hayo tuyaache. Na haya yale ya kubeba mshikaki tuwaache tu maana hiyo imesaidia kupunguza makali ya nauli