Naibu Spika, Tulia Ackson akiserebuka kwa furaha Mbeya, Bunge huwa linampa stress!!

raha jipe mwenyewe bwana! akisubiri kupewa na wabunge atasubiri sana.
 
Mbaya mjini ni mpaka Sugu aseme basi
Sky, is that true siyo asipofanya juhudi huyu mama atamg'oa! Unajua hawa illiterates wanadanganywa na kitu kidogo. Ingelikuwa jumuiya ya wasomi, one could get rest assured kuwa mpaka atake mwenyewe, sio hawa mbumbumbu! Easy to manipulate
 
Kule wamama ambao ni wapiga kura wanajielewa, rangi ya kijani imebaki kwenye matawi ya miti na mboga wanazokula. Kama Tulia atagombea kupitia CHADEMA labda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom