Naibu Spika Job Ndugai atumia milioni 13 za walalahoi kupanda 1St Class Emirates A380

Inaonekana kashatekeleza ilani ya Chama sasa anawapa ripoti watu wake wa Kongwa
 
bila aibu anapost na mapicha mithili ya Samuel 6 kuonyesha na ku blog jinsi anavyo waste tax payers money kwa kusafri 1st class kwenye emirates ambako kwa tripu moja alilipa tiket ya zaidi ya milioni 15 ili akae first class ya 380. Nimetaka kuonyesha picha naona kaziondoa lakini msome hapo chini



5ceda698ae8811e382ef125cd204e408_8.jpg


attachment.php

Dah, nimekubali maneno yericko nyerere. Kumbe kweli alienda Paris na ndo anarudi sasa baada ya bunge kuisha!

Halafu wanakuja Lumumba bk7 fc wanashupaa kila akileta Uzi. Dah
 
Katika milioni 1600 kuna milioni 13 ngapi hongera ndugai walitaka uende ulaya kwa bajaji
 
Hivi kweli in the middle of Escrow mtu anadiriki kupost huu upuuzi kweli?
Mbona watu wazima siku hizi wamekuwa kama watoto wadogo?
Daaaaaaaah. Pathetic.
Nadhani hatuna viongozi siku hizi tuna wapenda madaraka wala nchi.
 
Badala ya kueleza mafanikio ya safari yake na faida kwa wanakongwa yeye kawa mtalii
 
Nikiwa mwanakongwa nimehuzunishwa sana na huyu mbunge wangu, kwa kupokea pesa za wezi ili aachie kiti na kwenda kula bata paris, anyway karibu tena mlali uombe kura 2015...
 
Alienda peke yake kwa mapumziko au na mke wake au mchepuko? na kama peke yake kwanini kamuacha mkewe? au hajaoa? anae weza kujibu tafadhali
 
Survival of the fittest. Dah maskini ndo wanaumia jamani RIP KIJANA MREMA ALIEKUFA KWA KUKOSA USAFIRI WA NDEGE KWENDA KWENYE MATIBABU.
 
Anawaambia wana-kongwa wapi wenye access na mtandao??? Anyway, ndivyo ukoo wa panya unavyopuliza na kulamba vya wadanganyika
 
Mara ya kwanza kupanda ndege nini?

Prime Minister Bandarnaike wa Sri Lanka kashakuja bongo na commercial flight, economy class.

These little bureaucrats...
 
Back
Top Bottom