Huyu nae vp, mbona hajafunga mkanda sasa!?
bila aibu anapost na mapicha mithili ya Samuel 6 kuonyesha na ku blog jinsi anavyo waste tax payers money kwa kusafri 1st class kwenye emirates ambako kwa tripu moja alilipa tiket ya zaidi ya milioni 15 ili akae first class ya 380. Nimetaka kuonyesha picha naona kaziondoa lakini msome hapo chini
kaka na wewe punguza ushamba kidogo, kwani mkanda mpaka ufungwe juu ya shuka la kujifunika?Huyu nae vp, mbona hajafunga mkanda sasa!?
sikujua ka mleta mada ni CD,utatumia ashampoo au nero?
Ushamba tu. Kuwaeleza maneno hayo wanakongwa ni kuwadharau.
kaka na wewe punguza ushamba kidogo, kwani mkanda mpaka ufungwe juu ya shuka la kujifunika?
Sio kujua, sema kuanza manake ukishajua ulimbukeni unakua ushaisha!Duh hii ni sawa na kujuwa mapezi ukubwani!!
Anaongoza BJMTNdugai anaongoza nchi gani..??????????????
Tafadhali waheshimu Nyani, hawawezi kuzaa kituko kama huyu.