S. S. Phares
JF-Expert Member
- Nov 27, 2006
- 2,138
- 82
YY, nimekubali kuwa kwa vile sababu sio za kisiasa, swali la pili linakuwa rendunty outright, lakini muuliza swali has the right kujibiwa 1. Sababu sio za kisiasa, hivyo Prof. Maghembe amesema Mama Hawa Ghasia muongo au mzushi, na jibu la pili, angejibu kwa vile jibu la kwanza siyo kweli, swali la pili limeshajijibu.
Hivyo kwa walioangalia live, swali la kwanza limekwepwa, lapili halikujibiwa, muulizaji was shunned down.
Nakuelewa Pasco, hapa sasa unaegemea kwenye tabia ya Waziri kwamba kwa nini hakuwa "polite" walau kusema "kwa vile jibu la kwanza siyo kweli, swali la pili limeshajijibu."
Hizo manners Waziri alikosa, nadhani ni mchanganyiko wa U-Prof wake, U-CCM, Cheo na fact kwamba aliyeuliza swali ni Ms Mdee wa Chadema.