Habari za kuaminika muda mchache uliopita aliyekuwa Naibu Meya Arusha AMEJIUZULU. More News to follow na tunasubiri "tetesi" Meya mwenyewe atoe kauli ingawaje yeye ni mbuzi wa kafara labda itachuku siku nyingine tatu mpka tano kutoa tamko.. Then I think RPC, IGP to follow before president.....
wajiuzulu wote mpaka rais wao anaeshinikiza ukandamizaji na mauaji ya raia tumemchoka hatumtaki.
Chanzo cha habari bwana mkubwa ungeweka kabisa, labda ni tetesi
chanzo cha habari bwana mkubwa ungeweka kabisa, labda ni tetesi
Kama Kweli litakuwa jambo jema hilo kwa watu wa Arusha.
Unasema nini? Si Wa-Arusha peke yao ni watu wa wa nchi nzima wanaopambana kujikomboa na udhalimu. Navyoona mie, CCM itakosa kabisa pa kutokea.
Meya,naibu meya,mkuu wa mkoa,mbunge,diwani etc!so many designations!no wonder a country is corrupted!